Testi

Mapenzi chenga Yakikupiga unasurrender Na wengi wakipendwa Wanasahau kuna kutendwa Mapenzi chenga Yakikupiga unasurrender Na wengi wakipendwa Wanasahau kuna kutendwa Wapi mkandarasi wa moyo Wa ukuta wa mapenzi unabomoka Kinacho ponza wengi ni moyo Wakikalia kuti kavu wanadondoka Wapi mkandarasi wa moyo Wa ukuta wa mapenzi unabomoka Kinacho ponza wengi ni moyo Wakikalia kuti kavu wanadondoka Unajisifu umempata Kumbe alo mwacha anamfata Anachotaka anakipata Wanasema hawara hana talaka Unajisifu umempata Kumbe alo mwacha anamfata Anachotaka anakipata Wanasema hawara hana talaka Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Naogopaaah Kwenye safari ya mapenzi mi nisiyasikee Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Naogopaaah Tena tochi ya mapenzi isinimulike Nimeyaona bayana Ndo maana sitaki kumbuka ya jana Alivyonidanganya Moyo wangu ukapiga danadana Nimeyaona bayana Ndo maana sitaki kumbuka ya jana Alivyonidanganya moyo wangu ukapiga danadana Kwani nini za mapendo ila yakaniteka mapenzi Tena nilimweka moyoni ila akaniona mshenzi Unaweza sema pesa ndiyo breki ila mapenzi hayasomeki Umemteka kwa mali na cheki Kumbe vyombo anakula muuza magazeti Unayemwita bebi anaweza bebwa kama begi Mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji Unayemwita bebi anaweza akabebwa kama begi Mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji Unajisifu umempata Kumbe alo mwacha anamfata Anachotaka anakipata Wanasema hawara hana talaka Unajisifu umempata Kumbe alo mwacha anamfata Anachotaka anakipata Wanasema hawara hana talaka Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Naogopaaah Kwenye safari ya mapenzi mi nisihusike Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Naogopaaah Tena tochi ya mapenzi isinimulike
Writer(s): Raymond Mwakyusa, Rayvanny Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out