Video musicale

Lava Lava - Kilio (Official Video)
Guarda il video musicale per {trackName} di {artistName}

In primo piano

Crediti

PERFORMING ARTISTS
Lava Lava
Lava Lava
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Lava Lava
Lava Lava
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer

Testi

Ayooo laizer Mhh-mh Hali yangu mbaya Hanifikirii akipata muda (akipata muda) Moyo ameshaugawa Pakacha penzi linavuja (limeshavuja) Mwenzie napagawa nahisi uchizi Na network haisomi (mh-mh) Anayofanya si sawa Nakosa usingizi Mwili miwasho na vichomi (hi hi) Mwambie kutwa mateso nasurubiwa Mwenzie yatima wa penzi mwanamkiwa Oh mie mapenzi ugonjwa nimezidiwa Mie mwengine sioni kunitibia Kilio oh kilio (kilio na penzi langu) Kilio oh kilio (huruma hana) Kilio oh kilio (Yarabi Mola wangu) Kilio oh kilio (japo simama) Mmmh ye ndo barafuu Niliyemlia yamini Pemba karafuu marashi yangu mwilini Utamu wa ndafu mbona ameutia Quinn Amenichezea rafu penzi amelikafini Eeeh yeye anajivinjari Mwenzake nadoda Napata tu habari anagawa uroda Tetemeko moyo kupenda uwoga Najiepusha mbali kukwepa vioja Mwambie kutwa mateso nasurubiwa Mwenzie yatima wa penzi mwanamkiwa Oh mie mapenzi ugonjwa nimezidiwa Ni yeye mwengine sioni kunitibia Kilio oh kilio (kilio na penzi langu) Kilio oh kilio (huruma hana) Kilio oh kilio (Yarabi Mola wangu) Kilio oh kilio (japo simama) Moyo wangu bado (mtekemteke) asinikondeshe Mwenzake bado (mtekemteke) asinizeeshe Mi mdogo bado (mtekemteke) asinikomaze roho Moyo bado (mtekemteke) ih ih
Writer(s): Lava Lava Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out