Testi

In this world no body is perfect We all do mistakes, so forgiveness is all we have And we only got one life here on this earth This one for you for you you you Mi ni mwanadamu sijakamilika Hadi siku ya mwisho wataponizika Usisahau zuuh hanakosa malaika Chonde nisamehe!!! Busara zako na upole kadhalika Hakini wazi haviwezi kusahaulika Najua hayazoleki yakimwagika Baby nisamehee!! Namaliza wiki nyumbani sifiki Simu zako sishiki busy na marafiki (ona) Lakini wazi ulinivumilia vingi Tena vyenye thamani kushinda shilingi Ni wazi siwezi kupinga Maana mi ni mwanadamu Na inatokea kuteleza Ila ningeonekana mjinga aah Ningeikana damu Naamini hata Mungu isingeweza kumpendeza I'm sorry sorry-sorry, sorry-sorry So lonely lonely-lonely, lonely-lonely I worry worry worry worry for you I'm sorry sorry-sorry, sorry-sorry So lonely lonely-lonely, lonely-lonely I worry I worry I worry for you Basi fanya unisamehee (ooh) Nisamehee (ooh), nisamehee (ooh) Nisamehee (ooh) Nimekosa naomba unisamehe (Naomba aah) Nisamehe (unisame aah) Nisamehe Nimekosa naomba unisamehe (Yeaah I know that I did you wrong And I'm here to apologize as human And I wish you all the best You deserve better) Unapohesabu makosa yangu Usisahau na mema Nitunzie pia mapungufu yangu Kwa watu usije ukasema eeh Shilingi imeshazama kwenye shimo oh oh Kamwe siwezi ipata tena Machozi yasio na kipimo oh oh Hata nikifumba macho yananipenya Mi nachoamini haikupangwa Mi na wewe tuwe wote mpaka siku ya mwisho Hakuna nilichofanya makusudi Ndo maana hadharani nkajirudi Na hakuna chenye mwanzo Duniani kikakosa kuwa na mwisho Ndo hivyo tena sina budi Na sina maana ntaka urudi No matter kiasi gani ntabaki na hamu Ila nisingeweza kuikana damu Maana kitanda, hakizai haramu Nenda salama unisamehee I'm sorry sorry-sorry, sorry-sorry So lonely lonely-lonely, lonely-lonely I worry worry worry worry for you I'm sorry sorry-sorry, sorry-sorry So lonely lonely-lonely, lonely-lonely I worry I worry I worry for you Basi fanya unisamehee (ooh) Nisamehee (ooh), nisamehee (ooh) Nisamehee (ooh) Nimekosa naomba unisamehe (Naomba) nimekosa (Nisamehe) nisamehe Nimekosa naomba unisamehe If we don't forgive, our lives will suffer It's just something we all need And we need forgiveness from in our lives (Mr simon)
Writer(s): Rajab Abdul Kahali, Simon Ryghseter Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out