album cover
Nata
album cover
Nata è stato pubblicato il 25 febbraio 2022 da Ziiki Media come parte dell'album Fundi
AlbumFundi
25 febbraio 2022
EtichettaZiiki Media
BPM100
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia

Testi

[Verse 1]
Nzi kafia kwenye kidonda si haramu, lengo isiwe fimbo
Usiweke furaha kwa kivuli tu
Ivi itakuwaje ntapetape na mwenye nacho upo
Sitaki vita baridi
Nichimbe upendo bandia
[Verse 2]
Neno la mbali kwetu ni usiku wa kiza
Usiombee penye ukimya mshindo utokea
Ms'iba wa wengi si kama sherehe
Tukiachana tufanye sherehe basi
Niamini mimi sumu fundo la rohoo
[Chorus]
Unajua nakupenda (We nataa)
Basi unaringaa (We nataa wee)
Na engine wanatamani (We nataa)
Watakuja kuzima (We nataa wee)
[Verse 3]
Muosha ustli maiti, ndo kwenye siri unapo nisaliti
Mteuzi eshi tamaa, ushindwe majani ule nyama
Nimekubali weka mikono juu, siwezi-siwezi wewe
Hatupimani ubavuu, tusishindane kwa makuu
Nshaweka nembo usigeuze lengo
Msiba wa wengi si kama sherehe
Tukiachana tufanye sherehe basi
Niamini mimi sumu fundo la rohoo
[Chorus]
Unajua nakupenda (We nataa)
Basi unaringaa (We nataa wee)
Kuna wengine wanatamani (We nataa)
Wanakuja kuzima (We nataa wee)
We nataa wee (We nataa wee)
We nataa wee
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...