album cover
Star
21.328
World
Star è stato pubblicato il 24 aprile 2022 da Waka Music Limited come parte dell'album Star - Single
album cover
Data di uscita24 aprile 2022
EtichettaWaka Music Limited
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia
BPM86

Video musicale

Video musicale

Testi

Star star star (Chibii) star star star
Si wanapenda kubang
Unaniletea ustar
Mi mwenyewe star
Mama yangu star
Baba yangu star
Hiyo bebe yangu
Ex wangu star
DJ wangu star
Mpaka bodyguard star
So usituletee ustar (star)
Hatushobokei ustar (star)
Wanangu mastar mpaka snitch wangu star (star)
We unaniletea ustar (star)
Jirani yangu star (star)
Mwenye nyumba wangu star (star)
Mpaka bodaboda star
Kamaanisha nini
Hainaga show show (hainaga shobo wanangu)
Hainaga kutubutubu (hainaga shobo wanangu)
Masponsa si wanazo doo (hainaga shobo wanangu)
Nguvu za kiume tunazo sisi (hainaga shobo
Yeah hainaga show show (hainaga shobo wanangu)
Hainaga kujishaua (hainaga shobo wanangu)
Dada akipita na bwana ako (hainaga shobo wanangu)
Nawe pita na baba yake (hainaga shobo wanangu)
Mara ooh
Madem wa sinza tabata na UTI (nyoo)
Madem wa chuga kiuno kigumu (nyoo)
Madem wembamba wanaomba vocha
Madem wafupi eti wabishi (nyoo)
Nyooo
So usituletee ustar (star)
Hatushobokei ustar (star)
Wanangu mastar mpaka snitch wangu star (star)
We unaniletea ustar (star)
Jirani yangu star (star)
Mwenye nyumba wangu star (star)
Mpaka bodaboda star
Oyaa
Hainaga show show (hainaga shobo wanangu)
Hainaga kujishaua (hainaga shobo wanangu)
Wewe ukimpa macho matatu (hainaga shobo wanangu)
Sisi anatupa jicho moja (hainaga shobo wanangu)
Kumaanisha nini
Hainaga show show (hainaga shobo wanangu)
Hainaga kutilitili (hainaga shobo wanangu)
Wewe ukimlewesha (hainaga shobo wanangu)
Sie kwa bedi tunamkeshesha (hainaga shobo wanangu)
Unataka gari na hauna salio (nyoo)
Bwana mdogo si unajigambio (nyoo)
Piga kelele nyingi kama una kalio
Na kama una kalio tingisha hilo fagio (nyoo)
Nyoo
So usituletee ustar (star)
Hatushobokei ustar (star)
Wanangu mastar mpaka snitch wangu star (star)
We unaniletea ustar (star)
Jirani yangu star (star)
Mwenye nyumba wangu star (star)
Mpaka bodaboda star (kumaanisha nini)
Hainaga shobo wanangu (star)
Hainaga shobo wanangu (star)
Hainaga shobo wanangu (kumaanisha nini)
Hainaga shobo wanangu
Written by: Mwarami kajonje, Twarha Kanengo
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...