Video musicale

In primo piano

Crediti

PERFORMING ARTISTS
Jux
Jux
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Juma Mussa Mkambala
Juma Mussa Mkambala
Songwriter
Michael Matthew
Michael Matthew
Songwriter
RAYMOND MAZIKU
RAYMOND MAZIKU
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Foxxmadeit
Foxxmadeit
Producer

Testi

Mmmh yeeah Nina kila sababu ya kuwa na yeye Kwake kichanga nabembelezwa na yeye Kwake ustaarabu, nini nipewe (eeh) Maana muda mrefu nimekuwa mwenyewe Sasa mapema Narudi nyumbani Vitu navikuta mezani Siri siri vya mtaani mwenzenu (kwa sasa) Mawe nipigeni Maneno nisemeni (oooh) Vikao vikaeni Huyu mtoto simuachi (simuachi) Mawe nipigeni (hata mniue) Maneno nisemeni (naridhika mie) Vikao vikaeni Huyu mtoto simuachi (heeh heeyah!) Oooh oooh oooh oooh Oooh oooh oooh oooh Wa nini, ung'adung'adu kufukuza mende Ya nini, kuwa waruwaru nikuumize uende Kwanini, niwe wa kuchovyachovya nikauingia mkenge Niamini, nawe usije pata bichwa ukaota mapembe Sababu wewe mzuri umepitiliza Penzi lako mi linaniliza Mawe nipigeni (nipigeni) Maneno nisemeni (oooooh) Vikao vikaeni Huyu mtoto simuachi (simuachi) Mawe nipigeni (hata mniue) Maneno nisemeni (yeeh yeeh yeeeh) Vikao vikaeni Huyu mtoto simuachi (eeh yaah!) Oooh oooh oooh oooh Oooh oooh oooh oooh (oooh oooh aaah aaah)
Writer(s): Juma Mkambala Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out