Testi

(Vicky pon this) Kunguru ata kalishwa, nyumbani ato kaa Katili huna nafsi, huna huruma Ata kwa ushahidi, macho nilifumba Sikutaka kuamini, Niliogapa itaniuma Kwamba msaliti wewe Kwa tamaa za mda mfupi, penzi bahari umelitosa Kawekeza mda mwingi, kumbe bure najichosha Iweje wewe, toliojenga kwa juhudi, umebomoa Zile ndoto na mipango, ya kufunga ndoa (Jeraha) Subirli lipone, bado naliunguza (Jeraha) Uchungu natamani ukome Nipe likizo mwenzio (Jeraha) Subirli lipone, bado naliunguza (Jeraha) Uchungu natamani ukome Nipe likizo mwenzio Likizo mwenzio-oh Niaje (niaje uooh) Get off me man (niaje niaje) Wajua wakati mwengine najiuliza Au pengine haya mapenzi yana wenyewe (usincheze cheze) Ama pengine mimi ndio sina bahati (moyo wangu mwepesi) Au pengine tu wangu ndio hajazaliwa Mana kila minapojitweka imani Kila ninapoanza safari ya mapenzi Meli inapongoa nanga tu inageuka feri mtongwe Damn, heh, siaminii After all we've been through How you sacrifice so much for so little? Kwamba msaliti wewe Kwa tamaa za mda mfupi, penzi bahari umelitosa Kawekeza mda mwingi, kumbe bure najichosha Iweje wewe, toliojenga kwa juhudi, umebomoa Zile ndoto na mipango, ya kufunga ndoa (Jeraha) Subirli lipone, bado naliunguza (Jeraha) Uchungu natamani ukome Nipe likizo mwenzio (Jeraha) Subirli lipone, bado naliunguza (Jeraha) Uchungu natamani ukome Nipe likizo mwenzio
Writer(s): Jacob Obunga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out