Video musicale

Baddest 47 - Sir God (Official Music Video) SMS VCT 10828681 To 15577 Vodacom Tz
Guarda il video musicale per {trackName} di {artistName}

Crediti

PERFORMING ARTISTS
Baddest 47
Baddest 47
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Linus Aggrey
Linus Aggrey
Songwriter

Testi

AAHHH WEE DE BLAQ CHAMPION BOY YEAH AH! THE MIX SIR GOD, (GOD) MI' MWANAO SIR GOD ONA NIMEKOSA KODI, MWENYEWE NYUMBA ATA NIKWIDA CHOGI AFU SIR GOD, (GOD) KUNA KITU TUKIFOJI DEMU WANGU NAMCHEAT VIPI, HATUWEZI TUKAMWONGEZA BODY? AFU SIR GOD, (GOD) MIE SIMILIKI VOGI BASI FANYA KAMPANGO NIMILIKI HATA SINAGOGI OYA SIR GOD, (GOD!) NIMEKIMBIA SANA JOGGING NIMEPIGA SANA GYM LAKINI KITUMBO HAKITOKI OYA SIR GOD, (AMEN) BARIKI BARIKI (AMEN) BARIKI NIBARIKI (AMEN) BARIKI BARIKI (AMEN) BARIKI NIBARIKI (AMEN) BARIKI BARIKI (AMEN) BARIKI NIBARIKI (AMEN) BARIKI BARIKI (AMEN) BARIKI SIR GOD! (GOD!) HMM, LOVE INA NI EFFECT KILA CHAKA NALOJARIBU KUTULIA LINABONYEZA NEXT SIR GOD, (GOD!) SI UNAMUONA BILL GATES, FANYA KAMA UNA CONNECT CHUKUA ZA KWAKE KWANGU PASTE Sir god (god) teketeza ma snitch Na pisi zenve bulichi Zinarudisha nyuma zina filisi Sir god! (god) nimekimbia sana jogi mmmh Nimepiga sana gym Lakini kitumbo hakitoki oya sir god!
Writer(s): Linus Aggrey Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out