album cover
Nitakase
album cover
Nitakase è stato pubblicato il 16 maggio 2022 da Independent come parte dell'album Ushuhuda
16 maggio 2022
EtichettaIndependent
BPM160
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia

Testi

[Verse 1]
Kuna wakati tunapitia mambo magumu
Na kujiona kwamba tunayaweza wenyewe
Kuna wakati yakitulemea twalaumu
Na kukufuru Mungu (Kumbe ni sisi wenyewe)
[Verse 2]
Kuna wakati akili na mawazo yetu
Tunakusahau wewe tunavipa kipaumbele
Si kwamba huoni haya tunayofanya si sawa
Unatutazama kwa huruma
[Verse 3]
Vipi nikushukuru kwa namna gani nikufae
Nami ukanifanye nuru ya ulimwengu na ikang'ae
Kwa maana umesema heri
Mtu yule asiyekwenda katika shauri la wasio haki
Bali sheria yako Bwana
[Chorus]
Unitengeneze niumbie moyo safi
Unitakase nikupendeze wewe
Unitengeneze uniumbie moyo safi
Unitakase nikupendeze wewe
[Verse 4]
Najua me nikiumbe dhaifu tuu
Basi angalau na mimi nikupendeze wewe
Nilingane na wewe hata kwa machache tu
Niwakumbushe na wengine ili wajue upo maana (Kumeharibika)
[Verse 5]
Tunaangamia kwa kukosa maarifa
Hakuna upendo ule umetufundisha
Wanadamu tumebadilika tumekuwa wabaya
Tumesahau kwamba upo
Tumesahau wewe upo
Yani kama hatuoni vilee
[Verse 6]
Vipi nikushukuru kwa namna gani nikufae
Nami ukanifanye nuru ya ulimwengu na ikang'ae
Kwa maana umesema heri
Mtu yule siyekwenda katika shauri la wasio haki
Bali sheria yako, Bwana
[Chorus]
Unitengeneze uniumbie moyo safi
Unitakase nikupendeze wewe
Unitengeneze uniumbie moyo safi
Unitakase nikupendeze wewe
[Outro]
Vipi nikushukuru kwa namna gani nikufae
Nami ukanifanye nuru ya ulimwengu na ikang'ae
Kwa maana umesema heri
Mtu yule asiyekwenda katika shauri la wasio haki
Bali sheria yako, Bwana
Written by: Walter Godfrey Chilambo
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...