album cover
Ushuhuda
album cover
Ushuhuda è stato pubblicato il 16 maggio 2022 da Independent come parte dell'album Ushuhuda
16 maggio 2022
EtichettaIndependent
BPM100
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia

Testi

[Verse 1]
Nimezaliwa kwa kusudi
Nipo kwa kusudi
Hivi nilivyo kwa kusudi
Nipo kwa kusudi
[Verse 2]
Hata nina yopitia ni kusudi
Yapo kwa kusudi
Majaribu yasoishaa ooh
Yote yapo kwa kusudi
[PreChorus]
Iwe huzuni ama faraja ooh
Iwe kilio ama furaha ooh
Iwe kupata au kupoteza aah
Nimepitia ili kutimiza kusudi lake
[Chorus]
Na mimi ni ushuhuda (Ushuhuda eeh)
Mimi ni ushuhuda (Mimi ni ushuhuda)
Ooh mimi ni ushuhuda (Ooh mimi ni ushuhuda)
Mimi ni ushuhuda (Aaiyayaa yaya yaiyaah)
Ooh mimi ni ushuhuda eeh
[Verse 3]
Leo amenipa ujasiri
Nasimama tena
Amenipa nguvu
Nimeinuka tena
Amenipa kutabasamu ninacheka tena
Amenipa amani ni furaha zaidi
[Verse 4]
Mimi ni ushuhuda, nikutie moyo
Mimi ni ushuhuda (Usikate tamaa)
Sito yumbishwa na jambo lolote tena
Sito babaika na kitu chochote
[PreChorus]
Iwe huzuni ama faraja ooh
Iwe kilio ama furaha ooh
Iwe kupata au kupoteza aah
Nimepitia ili kutimiza kusudi lake
[Chorus]
Na mimi ni ushuhuda (Ushuhuda eeh)
Mimi ni ushuhuda (Mimi ni ushuhuda)
Ooh mimi ni ushuhuda (Ooh mimi ni ushuhuda)
Mimi ni ushuhuda (Aaiyayaa yaya yaiyaah)
Ooh mimi ni ushuhuda eeh si tena wa zamani ayayayah)
Mimi ni ushuhuda (Amesha nitoa kule baba)
Ooh mimi ni ushuhuda (Mimi ni ushuhuda)
Mimi ni ushuhuda, mimi ni ushuhuda
Ooh mimi ni ushuhuda eeh
Written by: Walter Godfrey Chilambo
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...