Crediti

PERFORMING ARTISTS
Mzee Yusuph
Mzee Yusuph
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Yusuf Mwinyi
Yusuf Mwinyi
Songwriter

Testi

RAHATUL LAYLI
RAHATUL LAYL SHARTUL LAYLI FILAYLI
LAYLATUL LAYLI FI KULI MAKAANI
YAASALAAM
RAHATULAYLI NAZIKOSA UKIWA MBALI NAMI
NA ZANGU AKILI NAZIKOSA KUHEMA SIHEMI
TABASAMU LAKO LANICHANGAMSHA NA KUNISISIMUA
HIO LADHA YAKO INA MSHAWASHA
UWA HUCHANUWA
HAUNA VITUKO WANISHUGHULISHA
UNAPOTOKEA
UKO PEKE YAKO JILIE MAISHA
ACHA KUJISUMBUA
NIPE RAHA ZA USIKU NA JIONI
NIZIPATE
NIPE RAHA KILA SIKU
WACHA TUWATOE MATE
EEEEH OOOOH OOOH
CHORUS
NNAKOSA RAHA NISIPOKUONA
NNAKOSA RAHA HUWA SINA RAHA NISIPOKUONA.
BETI 2
LADHA YA LAKO PENZI*
LIMEZIDI UTAMU *SI WA NCHI HII
HILI LAKO PENZI*KWANGU NI ADIMU SIKUFAGILII
MTAALAMU WA KUDARIZI CHACHANDU YA NDIMU
INAKOLEA NANIHII
USINITIE UCHIZI UKANITOA FAHAMU NISIWEZE KUNANIHII
VYAKO VYAKO VITAMU USININYIME
UKANIKONDESHA
LADHA YA TAMU ACHA NIJITUME
USIJE NIKOSESHAA RAAHA
PAPAPAAAA PANDU
NTENDE ZEZE MIMI
NISASAMBULIE SASAMBU SASA SASA SA SASAMBU
NIMUONE NGURU PANDU PA PA PA PA PANDU
NA NIZIONE CHACHANDU CHA CHA CHA CHA CHACHANDU.
Written by: Yusuf Mwinyi
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...