Testi

Basi kama we kitanda Mi ndio kwichi kwichi Aah tamu halua jigi jigi Basi ting badi malo niku gidi gidi Basi kama we kitanda Mi ndio kwichi kwichi Aah tamu halua jigi jigi Basi ting badi malo niku gidi gidi Wanasema kibaya chajitembeza Wanasema kizuri chajiuza Umeniwacha mdomo wazi Namwaga mate Na ukamtoa nyoka pangoni Eeh eeiih usije nizingua (Ooh unanipa furaha isio la kifani oh) (Ooh unanipa furaha isio la kifani oh) Mashallah Mpenzi wewe ni chocolate Ooh baby chocolate Wewe ni chocolate Oh mamy chocolate Baby hata kwenye okada mi nitakubeba Na wenye roho mbaya wataona mbaya, wataona fire Jameni mapenzi kivuruge, inavuruga Kimenikata maini,mwenzenyu hata si amini Mapenzi ina changanya Mpaka matonya anaimba violeti Inachanganya mpaka mwenzenyu naimba chocolati Changanya mpaka na chibu anaimba jeje jeeeh Na kiba aje, nifanye aje (Ooh unanipa furaha isio la kifani oh) (Ooh unanipa furaha isio la kifani oh) Mashallah Mpenzi wewe ni chocolate Ooh baby chocolate Wewe ni chocolate Oh mamy chocolate Oh mamy chocolate (Ooh unanipa furaha isio la kifani oh) (Ooh unanipa furaha isio la kifani oh) Mashallah (Ooh baby tamu chocolate) (Ooh baby tamu chocolate) (Ooh baby tamu chocolate) (Ooh baby tamu chocolate)
Writer(s): Wilson Abubakar Radido, Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out