album cover
Ebenezer
album cover
Ebenezer è stato pubblicato il 31 marzo 2015 da Ingoma Publishing Ltd. come parte dell'album Rauka
AlbumRauka
31 marzo 2015
EtichettaIngoma Publishing Ltd.
LinguaEnglish
BPM111
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia

Testi

Amesema hataniacha hadi mwisho wa bahari,
amesema ana nia nzuri ya kunipa tumaini.
You are lord of my life and your promises are true,
nitakuamini, ahadi zako ni za milele.
Acha waseme watayosema,
we ni Ebeneza kwangu,
waniongoza maishani hakuna mwingine
kama wewe.
Amesema nikiwa kwa shida,
yeye ndiye kimbilio langu,
amesema nikiwa kwa vita,
atakuja kunipigania.
You are lord of my life and your promises are true,
nitakuamini, ahadi zako ni za milele.
Wacha waseme watayosema,
we ni Ebeneza kwangu,
waniongoza maishani hakuna mwingine,
kama wewe
Acha waseme watayosema,
we ni Ebeneza kwangu,
waniongoza maishani hakuna mwingine
kama wewe.
You are lord of my life and your promises are true,
nitakuamini, ahadi zako ni za milele.
Wacha waseme watayosema,
we ni Ebeneza kwangu,
waniongoza maishani,
hakuna mwingine,
kama wewe
Acha waseme watayosema,
we ni Ebeneza kwangu,
waniongoza maishani hakuna mwingine
kama wewe.
Written by: RR
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...