album cover
Nadeka
13.867
Christian & Gospel
Nadeka è stato pubblicato il 20 novembre 2020 da GUARDIAN ANGEL GLOBAL come parte dell'album Nadeka - Single
album cover
Data di uscita20 novembre 2020
EtichettaGUARDIAN ANGEL GLOBAL
LinguaEnglish
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia
BPM100

Video musicale

Video musicale

Testi

[Verse 1]
Mungu wangu anapenda maskini na tajiri anapenda-penda
Ndio maana mi na deka, niko mikononi mwake kila kitu Kiko better
Mungu wangu anapenda maskini na tajiri anapenda-penda
Ndio maana mi na deka, niko mikononi mwake kila kitu kiko better
[Verse 2]
Ibilisi ananyeta
Kuna watu wakicheki unabarikiwa sana wanateta
Anazidi kuleta mvua ya baraka na ma better inazidi kunyesha
Ibilisi ananyeta
Kuna watu wakicheki unabarikiwa sana wanateta
Anazidi kuleta mvua ya baraka na ma better
Inazidi kunyesha
Asifuye mvua imemnyea
Namsifu ju amenitendea
[Bridge]
Maajabu, maajabu
Ata wewe ukimkujia
Najua atakutendea
Maajabu, maajabu
[Verse 3]
Kuna wenye dhambi, wengine takatifu
Jua likiwaka linawawakia wote
Wengine janjajanja wengine waaminifu
Mvua ikinyesha inawanyeshea wote
[PreChorus]
Kuna wenye dhambi, wengine takatifu
Jua likiwaka linawawakia wote
Wengine janjajanja wengine waaminifu
Mvua ikinyesha inawanyeshea wote
[Chorus]
Mungu wangu anapenda maskini na tajiri anapenda-penda
Ndio maana mi na deka, niko mikononi mwake kila kitu kiko better
Mungu wangu anapenda maskini na tajiri anapenda-penda
Ndio maana mi na deka, niko mikononi mwake kila kitu kiko better
[Verse 4]
Mungu wangu anapenda penda penda, na sa ndio maana mi nadeka, deka-deka
Mungu wangu anapenda deka, penda deka, ananipenda nadeka
Mungu wangu anapenda penda-penda, na sa ndio maana minadeka deka-deka
Mungu wangu anapenda deka, penda deka, ananipenda nadeka
[Verse 5]
Nikimwita anacome through ndo maana namsifu
Maombi anajibu
Kuna wenye dhambi, wengine takatifu
Jua likiwaka linawawakia wote
Wengine janjajanja wengine waaminifu
Mvua ikinyesha inawanyeshea wote
[PreChorus]
Kuna wenye dhambi, wengine takatifu
Jua likiwaka linawawakia wote
Wengine janjajanja wengine waaminifu
Mvua ikinyesha inawanyeshea wote
[Chorus]
Mungu wangu anapenda maskini na tajiri anapenda-penda
Ndio maana mi na deka, niko mikononi mwake kila kitu kiko better
Mungu wangu anapenda maskini na tajiri anapenda-penda
Ndio maana mi na deka, niko mikononi mwake kila kitu kiko better
[Outro]

Written by: Guardian Angel
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...