album cover
Ukweli
album cover
Ukweli è stato pubblicato il 11 novembre 2022 da 2022 Liboi come parte dell'album State of Being - EP
Data di uscita11 novembre 2022
Etichetta2022 Liboi
BPM
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia

Video musicale

Video musicale

Testi

[Verse 1]
Kila mtu anauona anasikia
Kila mtu anaujua ukweli
Haitajalisha ni mara ngapi itakataliwa
Ukweli siku zote itabaki kuwa ukweli
Kwamba upendo ni yote, na upendo ni kweli
[Verse 2]
Washindi ni wenye nguvu, wanaotafuta haki
Wanaondoa makosa, wanafichua waongo
Washindi ni wenye nguvu, wanaoandika haki
Wanaondoa makosa, wanafichua waongo
[Bridge]
Ukwelii
Utatueka huru
Ukwelii
Utatueka huru
[Chorus]
Uongo, uongo, uongo yeeiye (Yeeiyeeyeiyee)
Uongo, uongo, uongo yeeiye (Yeeiyeeyeiyee)
[Verse 3]
Ukweli, sio wa kufariji
Ni kwa ajili ya ukombozi
Jifunzeni lililo kweli
Ili kutenda lililo sawa
Jifunzeni lililo kweli
Ili kutenda lililo sawa
[Chorus]
Ukwelii
Utatueka huru
Ukweli
Utatueka huru
Ukweli
Utatueka huru
Ukwelii
Utatueka huru
[Chorus]
Uoga unapoingia
Ukweli hutoroka
Uoga unapoingia
Ukweli hutoroka
Uoga unapoingia
Ukweli hutoroka
Uoga unapoingia
Ukweli hutoroka
Uoga unapoingia
Ukweli hutoroka
Uoga unapoingia
Ukweli hutoroka
Uoga unapoingia
Ukweli hutoroka
Written by: Sharon Ong'ayo

Loading...