Testi

unastahili mungu wetu tunakusifu mungu wetu twa kuinua yale uyatendayo ni makuu muno fadhili zako za milele haufananishwi na chochote ndiwe uliye mwanzo tena ni mwisho unastahili yesu kuabudiwa unastahili yesu kuinuliwa unastahili yesu kushujudiwa aaa-aaaa aaa-aaa unastahili nikiziangalia bingu ni kazi ya mikono yako vinavyo onekana na visivyo onekanaa
Writer(s): Upendo Nkone Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out