Video musicale

In primo piano

Crediti

PERFORMING ARTISTS
Masile
Masile
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Masile
Masile
Lyrics

Testi

Unanipa amani Mtunza siri zangu za ndani Weekend twende London Mimi nawe tukale rahaaa aaahh Dayana Dayanaa I am your persona Dayanaaa Dayana Dayanaaa I int a gangster Dayanaa Umekamilikaa bibieeeeeh Nini unatakaa niambieeeeh Nyimbo za mapendo nikuimbieeeeh Moyo utakateee mamaaaaaaah Ka ka kadanse Njoo tucheze kadanse Serebuka kadanse Mpaka chini kadanse Wanasema umenikamataaaa Waacheee waachee waongeeee Anyway you go nitakufataaa Waacheee waachee waongeeee Tufurahi hakuna matataaa Waacheee waachee waongeeee I wanna marry you Miss Tabata Waacheee waachee waongeeee Nipe sikio nikung'ateee Dayana you take my everything Tukalile le fungateee Fungate tujitulize When i come to you my love I get peace of mind my love Give to me all your love na aaaaaaahhh Siri ya nini niambie eeh Tulonge mamamaa Usinifiche niambie eeh Yamoyo semaa Umekamilikaa bibieeeeeh Nini unatakaa niambieeeeh Nyimbo za mapendo nikuimbieeeeh Moyo utakateee mamaaaaaaah Ka ka kadanse Njoo tucheze kadanse Serebuka kadanse Mpaka chini kadanse Wanasema umenikamataaaa Waacheee waachee waongeeee Anyway you go nitakufataaa Waacheee waachee waongeeee Tufurahi hakuna matataaa Waacheee waachee waongeeee I wanna marry you Miss Tabata Waacheee waachee waongeeee Wanasema umenikamataaaa Waacheee waachee waongeeee Anyway you go nitakufataaa Waacheee waachee waongeeee Tufurahi hakuna matataaa Waacheee waachee waongeeee I wanna marry you miss tabata Waacheee waachee waongeeee Dayana dayanaa Isack Solo I am your persona dayanaaa pigia Fasy Masauti guitar Dayana dayanaaa I int a gangster dayanaa Dayana Dayanaa I am your personal dayanaaa Dayana Dayanaaa I int a gangster Dayanaa Bibiee eeh Niambiee eeh Nikuimbiee eeh Mamaa
Writer(s): Lucas Kimaro Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out