Crediti
PERFORMING ARTISTS
Armee Seben
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Meshack Temu
Songwriter
Testi
Baba yetu uliye juu mbinguni
Jina lako Baba litukizwe
Mapenzi yako eeh baba yatimizwe
Dunian kama juu mbinguni
utupe leo ridhiki yetu
Utusamehe na makosa Yetu
Baba eeh eheehee
Verse
Baba Yangu unanisikia
Maombi yangu ninayo kuombae
Baba Yangu unanisikia
Maombi yangu ninayo kuombae
Jina lako limetukuka tangu milele
Mataifa Yote yanakuimbea wewe eeeeeh
Chorus
utupe leo ridhiki yetu
Utusamehe na makosa Yetu
Baba eeh eheehee
Written by: Meshack Temu