album cover
Kelele Takatifu
album cover
Kelele Takatifu è stato pubblicato il 13 gennaio 2023 da Stanley Thiaine Production come parte dell'album Bwana Nifungulie
13 gennaio 2023
EtichettaStanley Thiaine Production
BPM104
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia

Testi

Tupigeni kelele takatif
u kwa ajili ya matendo
ya mungu wetu tupigeni
kelele takatifu kwa ajili
ya matendo ya Mungu wetu
Wakati misingi y
a ulimwengu ilipowekwa
wana wa mungu walipiga
kelele
Wakati misingi ya
ulimwengu ilipowekw
a wana wa mungu
walipiga kelele
Tupigeni kelele takatifu
kwa ajili ya matendo ya
mungu wetu
Tupigeni kelele takatifu
kwa ajili ya matendo ya
Mungu wetu
Mbingu yatangaza
anga ya hubiri utukufu
wako Mungu wetu
Mbingu yatangaza anga
ya hubiri utukufu wako
Mungu wetu
Tupigeni kelele takatifu
kwa ajili ya matendo ya
Mungu wetu
Tupigeni kelele takatifu
kwa ajili ya matendo y
a Mungu wetu
Wakati Yeriko ilipo
karibia kubomolewa
Mashunjaa wa mungu
walipiga kelele
Wakati yeriko ilipo karibia kubomolewa mashunjaa
wa mungu walipiga kelele
Tupigeni kelele takatif
kwa ajili ya matendo ya
Mungu wetu
Tupigeni kelele takatifukwa
ajili ya matendo ya
Mungu wetu
Wakati watu wanaponya
Wakati viwete wanatembea
Wakati watu wanainuliwa ajili
Wakati magonjwa janaponywa
Tupigeni kelele takatifu kwa ajili ya matendo ya Mungu wetu
Tupigeni kelele takatifu kwa ajili matendo ya Mungu wetu
Written by: Stanley Thiaine
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...