album cover
Sidhani
1610
Worldwide
Sidhani è stato pubblicato il 3 marzo 2023 da Kayumba come parte dell'album Fine Tape
album cover
Data di uscita3 marzo 2023
EtichettaKayumba
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia
BPM89

Crediti

PERFORMING ARTISTS
Kayumba
Kayumba
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ismail Juma
Ismail Juma
Songwriter

Testi

Siwezi mieeeeee
Mmmh
Machoziii
Kila majira yanitiririka
Penzi kikohozi
Sijui ntavuaje ulichonivika
Unanichua ngoozii
Nikadirie maumivu unayonipa
Kama ni dozi
Imenizidi asa naitapika
Silali jinaa
Vipi ntalala bila wewe
Au wanipima
Mwenzako siwezi kuwa mwenyeweee aaah
Hivi umedhamiria
Basi nambie kama unanitania
Umeme wanikatia
Nachokiza kinaingia ziziziiiiiii
Wallahi nakuapia
Kwa hii hali ntajifia
Sinauvumilivu wa ngamia
Jangwa ukinususia
Aaaaaaah sidhanii iiiiiiii sidhanii kantaweza bila wewe
Sidhaniii iiiiiii sidhaniiiiiiiiii aaaaah aaaaah aaahaaaaa ahaaaaaaa
Sidhaniii iiiiii sidhaniiiiiiiiiiii aaaah aaah ka ntaweza bila wewe
Sidhanii iiii sidhaniiiiiiiii
Siwezi mimiiiiiii
Siwezi mimiii siweeeeziiiii
Sidhani kama ntaweza peke yangu
Haya maji ntayavukaje nahodha wangu
Nambie kama nilikucheat
Au yangu ndogo ridhiki
Ule utamu umeisha mdomoni asali wangu
Baridi limezidi kitandani kwangu
Natetemeka krikikiiiiiii
Nashindwa kulidhibitiiii
Ipo siku ntasimama kama shuhuda wa penzi lakooo
Tena nitaungama kama dhambi ilo penzi lako
Hivi umedhamiria
Basi nambie kama unanitania
Umeme wanikatia
Nachokiza kinaingia ziziziiiiiii
Wallahi nakuapia
Kwa hii hali ntajifia
Sinauvumilivu wa ngamia
Jangwa ukinususia
Aaaahhhhhh
Aaaaaaah sidhanii iiiiiiii sidhanii kantaweza bila wewe
Sidhaniii iiiiiii sidhaniiiiiiiiii aaaaah aaaaah aaahaaaaa ahaaaaaaa
Sidhaniii iiiiii sidhaniiiiiiiiiiii aaaah aaah ka ntaweza bila wewe
Sidhanii iiii sidhaniiiiiiiii
Siwezi mimiiiiiii
Siwezi kama ntawezaaa
Siwezi mimiiii
Aaaaah aaaah oooooh moyooooo
Written by: Ismail Juma
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...