album cover
Forever
album cover
Forever è stato pubblicato il 10 febbraio 2023 da Ziiki Media come parte dell'album Forever - Single
10 febbraio 2023
EtichettaZiiki Media
BPM85
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia

Video musicale

Video musicale

Testi

Forever, forever, forever, forever, forever, forever, forever, forever
Nilianza kuskia sauti yako, kabla sijaona sura, ikafanya nikageuka
Macho yangu yakakutana na yako, ooh mashallah, nikahisi malaika ameshuka
Maana yangi macho, umbo lako, likanivuta kwako tuongee
Nikakuuliza jina lako namba yako, ndio ulikuwa mwanzo wa mi na wewe, uuh baby
Umenifungulia duniaa ya mapenzi, nimesahau mateso
Nakufungulia dunia ya kukuenzi, we ni wangu leo na kesho
Nakupenda, sikuachi, we ni wangu I promise
Nakutaka, kanbdo yangu, sikuachi I promise
Mi na wewe
Forever, forever, forever, me and you
Forever, forever, forever, me nawe
Nitazikwa nawe
Mtoto mbichi teketeke aki mama umelainika, umeumbika acha nikumwagie sifa
Waruke sarakasi na mateke uzuri wako hawatofika, mama umejazisha mikate yakumiminisha
Baby waonyeshe cheko (Cheko), wape mideko (Deko)
We mzuri, filter na make up waachie wao
Na unawapa mateso (Teso), watajifunika leso, waonyeshe kiburi wajue wewe ndio mama lao
Umenifungulia dunia ya mapenzi, nimesahau mateso
Nakufungulia dunia ya kukuenzi, we ni wangu leo na kesho
Nakupenda, sikuachi, we ni wangu I promise
Nakutaka, kando yangu, sikuachi I promise
Mi na wewe
Forever, forever, forever, me and you
Forever, forever, forever, me nawe
Nitazikwa nawe
Written by: Raymond Shaban Mwakyusa

Loading...