Video musicale

Mbogi Genje - Ngumi Mbwegze (Official Music Video) [SMS 'Skiza 5707915' to 811]
Guarda il video musicale per {trackName} di {artistName}

Crediti

PERFORMING ARTISTS
mbogi genje
mbogi genje
Performer
COMPOSITION & LYRICS
mbogi genje
mbogi genje
Songwriter

Testi

Smady Tingz Ah wah do dem Ah bie baga waganis Eh, whatcha know Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunasaka picha ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje) Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunataka sura ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje) Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunataka picha ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje) Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunataka sura ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje) Show mrazi pigwa rwai Niko kwa warosho, najinyuria na mangwai Si ndio Mbogi Genje, sikusicheki walai Ikifika biz, ni warazi tunachai Yo, sitambui bloody fucking Niko hustling, nifike njati ya cafling Niko jabling, nashikisha tu na wabling Med ziko peak juu sinanga time ya idling Yo, look safi, ni manganya nasetoka Mawikendi, mashashola na mogoka Mtatii Mbogi Genje ikimochoka (Mtatii) Ati sisi ndio kunyamba ka itoka Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunasaka picha ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje) Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunataka sura ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje) Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunataka picha ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje) Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunataka sura ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje) Juu si waras, yaani tukienda bash (Ras) Tunaseti shash, tuna-tunaseti shada (Shada) Tunatafash mpaka wanadai ni hush (Hush) Na si waresh wame-pin kwenye bash (Mbogi) Juu ni makeki, ni mangeus ndio watatoa cash (Aii) Na wakitoa cash, nazundua shash Tunaseti hadi zitu-catch Na zikishika sana, piga ata ngasha Na ukitupa staple, mi ndio nitaku-catch (Catch) Vidole zangu sticky, ni kama nitaku-pinch Juu niko mboka, man, acha nitaku-link Usi-tense, usiogope, nitaku-link (Oh) Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunasaka picha ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje) Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunataka sura ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje) Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunataka picha ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje) Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunataka sura ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje) Tukimuok warazi wanabuya Govana, wakidigi ni lagunya (Militan) Dong'a gota nikuliet mashashola Senke ikiriet ni kihuti Kuwachai, kuwakata tukizied Smady, Militan kuwabugda (Bugda) Wakimuok, hatunauwo kusafisha (Hatunawuo) Wakimuok, hatunauwo kusafisha Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunataka kichwa ya Kenyatta kwa walenje Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunasaka picha ya Kenyatta kwa walenje Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunataka kichwa ya Kenyatta kwa walenje
Writer(s): Merrick Owino Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out