album cover
Sawa
52
World
Sawa è stato pubblicato il 3 marzo 2023 da Spinal come parte dell'album Don't Cry
album cover
Data di uscita3 marzo 2023
EtichettaSpinal
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia
BPM137

Video musicale

Video musicale

Crediti

PERFORMING ARTISTS
Strevol
Strevol
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Gervas Keula
Gervas Keula
Songwriter

Testi

Kila Siku Mi Naya waza Mapenzii
Ndomana Ng\'ang\'ania Kukuacha Siwezii
Haya Ya Duniaa Haaa Aaah
Nakumbuka Sala Kasi Vurugu Kwenye Nyasiii
Katikat Moyo umeniachia Alamaa Aah
Mana nakupenda Mbaka Basi
Kama Tunda Nanasi
Utam utamu utamu Utamu Aluwa Tendeee
Ndomaana vimefanya Nkupendee
Unanijuliaaa
Unanipatiaa
Unazingatia aah
Makwichikwichi Kwa Sanaa
Umleemboo
Umleee Eeh Eeh Eeh Ooh Oooh Oooh
 Saaawa Nimependa
Usije Fanya Kusudi Ukanitendaa
Moyo Wangu Zaifu Nikisha Pendaa
Nimejitoa Kwako Fanya Unacho Pendaa
Saaawaaa SaaaAah waaa
Saaawaaa SaaaAah waaa
Saaawaaa SaaaAah waaa
Ibra Nyangeee Eeeh
Usiwe Kama Kunguru Asie Fugika Mama
Haya Zolekiii yakimwagika Mma
Haya Choteeeki Kama Maji yakisima
Nahivyo ukiniaacha Nitashindwa Rudi Nyuma
Australia Nita goo
Marekani nitagoo
Africa Ndio Oom Sito Kuacha Nyuma
Juwa unapendwa Unapendwa Mbaka Unapendwa tenaaaa
Tena Mamaa
Umleemboo Umlee Eeeh Umleemboo Ooh Oooh ooooh
Saaawa Nimependa
Usije Fanya Kusudi Ukanitendaa
Moyo Wangu Zaifu Nikisha Pendaa
Nimejitoa Kwako Fanya Unacho Pendaa
Saaawaaa SaaaAah waaa
Saaawaaa SaaaAah waaa
Saaawaaa SaaaAah waaa
Sawaaa Aaah
Asawa Sawa Sawaa sawa Sawaaaaa
 Sawaaaa Oooh Oooh Oooh oooowooooo
Sawaaaa Aaah aaah aaah
Olololoololololololo sawa Sawa Aah aaah Aaah Ahaaa sawa sawa
Luvinga The Soniiiii
Tajiri Jeradi Mgesi
Street Sound
Written by: Gervas Keula
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...