Testi

Kwa neema ya Bwana kwa neema Kwa neema ya Bwana kwa neema Hivi nilivyo mimi ni kwa neema Wala sio kwa ujanja wangu ni kwa neema ya Bwana Hivi nilivyo mimi ni kwa neema Wala sio kwa ujanja wangu ni kwa neema ya Bwana Ohh aah Nakushukuru Mungu kwa neema inayofanya niishi Nakushukuru mungu kwa ajili ya yesu Mwanao Nimepata Neema Nakushukuru mungu wa mbinguni Ni kwa neema yako ninakula ninakunyua Hivi nilivyo mimi ni kwa neema yako Wala si kwa ujanja wangu ni kwa neema Hivi nilivyo mimi ni neema Wala si ujanja wangu ni neema Bwana Kwa neema ya Bwana kwa neeema (Neema ya Yesu) Kwa neema ya Bwana kwa neeema (Neema ya Bwana) Hivi nilivyo mimi ni kwa neema (Neema ya Yesu) Wala sio kwa ujanja wangu ni kwa neema (Neema ya Bwana) Hivi nilivyo mimi ni kwa neema(Neema ya Yesu) Wala sio kwa ujanja wangu ni kwa neema ya Bwana (Neema ya Msalaba) Mimi ningekuwa nani kama si wewe Nani angenisikiliza kama si wewe Yesu Nani angelisikiliza nikiomba Naomba nasikilizwa kwa neema yako Nimeomba mke mwema umenipa Sio kwa ujanja wangu ni kwa neema Nimeomba mke mwema umenipa Sio kwa ujanja wangu ni kwa neema eeh Kwa neema ya Bwana kwa neeema (Neema ya Yesu) Kwa neema ya Bwana kwa neeema (Neema ya Bwana) Hivi nilivyo mimi ni kwa neema (Neema ya Yesu) Wala sio kwa ujanja wangu ni kwa neema (Neema ya Bwana) Hivi nilivyo mimi ni kwa neema(Neema ya Yesu) Wala sio kwa ujanja wangu ni kwa neema ya Bwana (Neema ya Msalaba) Nani angekusikiliza ndugu yangu Nani angekusikiliza ukiomba Umeomba umejibiwa maombi Sio kwa ujanja wako ni kwa neema Usidharau wengine ndugu yangu Vyote ulivyo navyo ni kwa neema Hivyo ulivyo ndugu ni kwa neema Sio kwa ujanja wako ni kwa neema Hivi nilivyo mimi ni kwa neema Sio kwa ujanja wangu ni kwa neema Hivi tulivyo sisi ni kwa neema Sio kwa ujanja wetu ni kwa neema eh Kwa neema ya Bwana kwa neeema (Neema ya Yesu) Kwa neema ya Bwana kwa neeema (Neema ya Bwana) Hivi nilivyo mimi ni kwa neema (Neema ya Yesu) Wala sio kwa ujanja wangu ni kwa neema ya Bwana (Neema ya Bwana) Hivi nilivyo mimi ni kwa neema(Neema ya Yesu) Wala sio kwa ujanja wangu ni kwa neema ya Bwana (Neema ya Msalaba) Mimi ningekuwa nani kama si wewe Nani angenisikiliza kama si wewe Yesu Nani angelisikiliza nikiomba Naomba nasikilizwa kwa neema yako Nimeomba mke mwema umenipa Sio kwa ujanja wangu ni kwa neema Nimeomba mke mwema umenipa Sio kwa ujanja wangu ni kwa neema eeh Kwa neema ya Bwana kwa neeema (Neema ya Yesu) Kwa neema ya Bwana kwa neeema (Neema ya Bwana) Hivi nilivyo mimi ni kwa neema (Neema ya Yesu) Wala sio kwa ujanja wangu ni kwa neema (Neema ya Bwana) Hivi nilivyo mimi ni kwa neema(Neema ya Yesu) Wala sio kwa ujanja wangu ni kwa neema ya Bwana (Neema ya Msalaba) Kwa neema ya Bwana kwa neeema (Neema ya Yesu) Kwa neema ya Bwana kwa neeema (Neema ya Bwana) Hivi nilivyo mimi ni kwa neema (Neema ya Yesu) Wala sio kwa ujanja wangu ni kwa neema (Neema ya Bwana) Hivi nilivyo mimi ni kwa neema(Neema ya Yesu) Wala sio kwa ujanja wangu ni kwa neema ya Bwana (Neema ya Msalaba)
Writer(s): Boniphace Mwaitege Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out