Testi

Hili joto hasiraa (Ambaa) Upepo hakunaa (Ambaa naruka mwenyewe Yelelaa yelelaa ambaa) Foleni njia nzimaa (Ambaa) Na pesa hakuna (Ambaa naruka mwenyewe Yelelaa yelelaa Ambaa) Hili joto hasiraa (Ambaa) Upepo hakunaa (Ambaa naruka mwenyewe Yelelaa yelelaa ambaa) Foleni njia nzimaa (Ambaa) Na pesa hakuna (Ambaa naruka mwenyewe Yelelaa yelelaa Ambaa) Kila siku nimenuna Kwani tunagombana Tena tunakosoana Kama tumechanganyikiwa Na sioni hata maana Ya si kuzinguana Yani kila mtu anajua sana Au yote sababu yaa Sababu yaa Hili joto hasiraa (Ambaa) Upepo hakunaa (Ambaa naruka mwenyewe Yelelaa yelelaa ambaa) Foleni njia nzimaa (Ambaa) Na pesa hakuna (Ambaa naruka mwenyewe Yelelaa yelelaa Ambaa) Hili joto hasiraa (Ambaa) Upepo hakunaa (Ambaa naruka mwenyewe Yelelaa yelelaa ambaa) Foleni njia nzimaa (Ambaa) Na pesa hakuna (Ambaa naruka mwenyewe Yelelaa yelelaa Ambaa) Mazao twalima wote Sahani wavuta kwakoo Kama chakula tule wote Kwanini chote kije kwakoo Kisu mpini umeshika wewe Vitisho kunikata mimi Mmmhhhh Au yote sababu yaa Sababu yaa Hili joto hasiraa (Ambaa) Upepo hakunaa (Ambaa naruka mwenyewe Yelelaa yelelaa ambaa) Foleni njia nzimaa (Ambaa) Na pesa hakuna (Ambaa naruka mwenyewe Yelelaa yelelaa Ambaa) Hili joto hasiraa (Ambaa) Upepo hakunaa (Ambaa naruka mwenyewe Yelelaa yelelaa ambaa) Foleni njia nzimaa (Ambaa) Na pesa hakuna (Ambaa naruka mwenyewe Yelelaa yelelaa Ambaa) Uuuuh Sahau sahau shidaa Oooh Ishida ziliisha jana Say goodbye joto Rest in peace shida Knock knock Money Wenyewe wanasema usawa unakaba Na rafiki wa kweli ni mama na baba Hawa wengine wala usiwaamini Maana binadamu wa sasa Wana roho saba Watakuwa na wewe kwenye raha Na hawatakuwa na wewe kwenye njaa Bora nipige misele yangu Pekeyangu Niruke pekeyangu Na woga niliukataa Aah Nabadilika kama saa Na siku hazigandi Na sitokata tamaa Wamejaa usaliti na chuki Watu wa karibu Wanageuka Mamluki General Nasonga Iwe joto au baridi naamini tutashinda Kama ngwai iwe ngwai Barida We make more money Rest in peace shida Ukinuna nataka tunune wote Ukilia nataka tulie wote Vita vyako tunapigana wote Tukishinda tushinde Au bora tufe wote Kama kulima kote tumelima wote Hata kupanda Kote tumepanda wote Kupalilia tumepalilia wote Aah nashangaa sasa Mbona hatuvuni wote Hili joto hasiraa (Ambaa) Upepo hakunaa (Ambaa naruka mwenyewe Yelelaa yelelaa ambaa) Foleni njia nzimaa (Ambaa) Na pesa hakuna (Ambaa naruka mwenyewe Yelelaa yelelaa Ambaa) Hili joto hasiraa (Ambaa) Upepo hakunaa (Ambaa naruka mwenyewe Yelelaa yelelaa ambaa) Foleni njia nzimaa (Ambaa) Na pesa hakuna (Ambaa naruka mwenyewe Yelelaa yelelaa Ambaa)
Writer(s): Judith Wambura Mbibo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out