Crediti

PERFORMING ARTISTS
Buki tz
Buki tz
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Buki tz
Buki tz
Songwriter
Mr Tevinci
Mr Tevinci
Arranger

Testi

Mungu atakupa na salama, akuhifadhi na kila lenye shari
Akutunze mpenzi wangu ishi vema, akuepushe madada matapeli
Liwalo na liwe sawa naomba niwe rafiki yako, naomba msalimie sana aliyeteka moyo wako
Nilitamani niwe mie ila tatizo sina kipato, haya mwenzangu na mie sawa, huu ndo muda wako
Liwalo na liwe sawa naomba niwe rafiki yako, naomba msalimie sana aliyeteka moyo wako
Nilitamani niwe mie ila tatizo sina kipato, haya mwenzangu na mie sawa, huu ndo muda wako
(Sio vibaya) Mara moja-moja ukanitumia meseji
(Sio vibaya) Ukipata nafasi uje unicheki
(Sio vibaya) Japo nikipiga simu unampa yeye anapokea
(Sio vibaya) Nikituma meseji unampa yeye nachati naye
Ya zambarau, ukaichuna rangi ukaifosi iwe nyeupe
Ukajisahau licha upendo wa dhati ukaniona kama kupe
Ulipanda dau shida sio ibilisi wala usimuongope, angalau uniache nipumzike
Kwa maana unyonge wangu upole maskini ulifanya unione
Mi mwenye kiti kwenye jimbo langu mwenzako, wajumbe wakorome
Ati dua la kuku halimpati mwewe wehenga mnipishe
Ya nini nirudiane na wewe hapo ngoja kwanza ncheke
Me sio wa losheni, poda wala mkoroga wa kijiko
Ningekupa nini tena sina kijora cha mkopa
Liwalo na liwe wacha niwe rafiki yako, naomba msalimie yule uliosema danga lako
Ulizivunja mwenyewe nguzo zetu za upendo, ushachelewa tayari mi baba kijacho
Mimi na wewe (Sio vibaya)
Ukiachwa jifunze kuachika (Sio vibaya)
Mimi na wewe maji yashamwagika (Sio vibaya)
Mimi na wewe ibaki historia (Sio vibaya)
Written by: Buki tz
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...