album cover

Inauma

9R&B/Soul2024
album cover
Inauma è stato pubblicato il 5 gennaio 2024 da City Sound Production come parte dell'album 3Rd Year
Data di uscita5 gennaio 2024
EtichettaCity Sound Production
BPM87
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia

Video musicale

Video musicale

Testi

Nibishane na yeye nifilisike na sina kitu
Labda kwa ngumi akinishinda nichukue kisu
Naskia mfukoni ako sawa kimwili bonge la jitu
Ni machozi eeh lakini ipo siku
Haki anamchukua
Na inauma ooh inauma
Ooh inauma
 haki anamchukua
Na inauma ooh inauma
Ooh inauma
Kitu inaniuma tuu sana ni
Sina uwezi mi ningependa nimwoe
Honeymoon iwe Germany
Mfuko haiwezi ila roho inatamani
Oooh wacha nijijenge
Yes jamaa ana uwezo jamaa ako na money
Shida mabinti wanamfuata kila mahali
Nimwachie mbavu yangu nikose mi amani
Oooh no hapana
Nibishane na yeye nifilisike na sina kitu
Labda kwa ngumi akinishinda nichukue kisu
Naskia mfukoni ako sawa kimwili bonge la jitu
Ni machozi eeh lakini ipo siku
Haki anamchukua
Na inauma ooh inauma
Ooh inauma
 haki anamchukua
Na inauma ooh inauma
Ooh inauma
Written by: David Junior Odera

Footer Shazam

Seleziona lingua:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Seguici

Loading...