album cover
Amina
114.494
R&B/Soul
Amina è stato pubblicato il 28 agosto 2017 da Sanaipei Tande come parte dell'album Amina - Single
album cover
Più popolari
Ultimi 7 giorni
00:40 - 00:45
Amina è stata scoperta più frequentemente a circa 40 secondi dall'inizio la canzone durante la settimana passata
00:00
00:10
00:35
00:40
00:50
00:55
01:25
01:40
01:50
02:30
02:35
03:00
03:15
00:00
03:35

Video musicale

Video musicale

Testi

[Verse 1]
Oo-oh mama, panguza chozi
Siyatafakari vita vya juzi
Si kupenda kwangu kukuudhi Ila tu ujana haubagui
Dada panguza chozi
Sijitie lawama kwa uzushi
Kwani vita kati ya mandugu
Si ya firauni
[Verse 2]
Wakati hauniruhusu mi
Kurekebisha yangu madhambi
Kwa hivyo nawaomba siku hiio
Nikumbukie mazuri
Mi nataka mucheke siku ya mwisho
Siwe mpweke mi bado niko
Namshukuru Mola kwa kuwepo
Nasema Amina
[Verse 3]
Amina Amina, A-A-Amina
Amina Amina, A-A-Amina
Amina Amina, A-A-Amina
Amina Amina
[Verse 4]
Ooh mpenzi panguza chozi
Sijijaze chuki wewe moyoni
Hasira hasara
Yote ya mwenyezi
Oh rafiki panguza chozi
Sijiumize we kichwa na maswali
Utansamehe sana kwenda
Bila mkono wa buriaani
[Verse 5]
Wakati hauniruhusu mi
Kurekebisha yangu madhambi
Kwa hivyo nawaomba siku hii
Nikumbukie mazuri
Mi nataka mucheke siku ya mwisho
Siwe mpweke mi bado niko
Namshukuru Mola kwa kuwepo
Nasema Amina
[Verse 6]
Amina Amina, A-A-Amina
Amina Amina, A-A-Amina
Amina Amina, A-A-Amina
Amina Amina
[Verse 7]
Ooh sina sina sina sina
Nafasi nyingine
Ya kuwa na wewe
Nasikitika mi naumia
Lakini nina nina nina nina
Shukrani moyoni
Yakuwa miongoni
Mwa walo nienzi mi
[Verse 8]
Wakati hauniruhusu mi
Kurekebisha yangu madhambi
Kwa hivyo nawaomba siku hii
Nikumbukie mazuri
Mi nataka mucheke siku ya mwisho
Siwe mpweke mi bado niko
Namshukuru Mola kwa kuwepo
Nasema Amina
[Verse 9]
Amina Amina, A-A-Amina
Amina Amina, A-A-Amina
Amina Amina, A-A-Amina
Amina Amina
[Verse 10]
Amina Amina, A-A-Amina
Amina Amina, A-A-Amina
Amina Amina, A-A-Amina
Amina Amina
Written by: Sanaipei Tande
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...