album cover
Mtawala
album cover
Mtawala è stato pubblicato il 26 maggio 2022 da Mathias Walichupa come parte dell'album Mtawala - Single
26 maggio 2022
EtichettaMathias Walichupa
BPM
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia

Testi

Ooo-wowo-ouuu-ooouu, mmmhmm
Msalabani, ndiye aliye nifilia
Dhambi na makosa, BWANA YESU aliviondoa
Kafanyika furaha, ndani ya vilindi vya mtima wangu, uuh
Yeye ni muhimili, wa msingi kwa Wokovu wangu
Na Bendera yake, nitaipeperusha pepe
Nimsifu yeye daima (uuh, milele daima)
Bendera yake nitaipeperusha pepe, nimuhimidi milele, eeh
Mtawala (my Dady)
My Dady Mtawala (Mtawala, eeeh)
Mtawala (my Dady)
My Dady Mtawala
Mmiliki wa Dunia na Mbingu yeiee
Mtawala (my Dady)
My Dady Mtawala (Mtawala ouh yeah)
Mtawala (ooh my Dady)
My Dady Mtawala (Mmh)
Kwa neema yake, anawaruzuku hata walioonewa, aanhm
MUNGU mtetezi, jina lake ni EBENEZER, mmh
Yeye asiye mbaguzi wa rangi, Nchi, wala kabila, Ouh yeee
MUNGU adhihirishae, uwezo wake, kati ya mataifa, mmh
Na Bendera yake, nitaipeperusha pepe
Nimsifu yeye daima (uuh, milele daima)
Bendera yake nitaipeperusha pepe
Nimuhimidi milele, eeh
Mtawala (My Dady eeh)
My Dady Mtawala (wa moyo wangu, mimi yeiee)
Mtawala (ooh my Dady)
My Dady Mtawala (yeiyee)
Anamiliki maisha yangu yote
Mtawala (ooh, my Dady)
My Dady Mtawala (ooh, Mtawala, aaa, eee)
Mtawala (ooh my Dady)
My Dady Mtawala
Written by: Mathias Walichupa
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...