Crediti
PERFORMING ARTISTS
Trez Bie
Performer
COMPOSITION & LYRICS
HAKIZIMANA TRESOR
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Jay Drama
Producer
Testi
Kutoka Bujumbura kigoma dar es salaam sina pakula kulala zaidi ya baraka za mama na my family mibado natafuta ila bado sijapata ni mwaka wa tano sasa tangu ni toke home nimekuja kupambana ila life bado ngumu mwanao sina ajira mi ni winga kariako nasina pakuegemea nami ndo kichwa cha ukoo nafosi kujitafuta kama nimejipoteza better day zinakaza kila mishe nafanya ili mambo yaende natamani kula nyama ila uwezo wangu makande God remember me mbona mishe nafanya na ibada kwasana najiuliza why me mpe saramu mwanangu mwambieni babaako sijakusaau najitaidi kupambana uwe wakishua angalau ila bado nyau nyau
Bado nafosi michongo napambana nipate kidogo usawa unakaba ila fresh tuu mambo yatakuja kuwa safi tu
Bado nafosi michongo napambana nipate kidogo usawa unakaba ila fresh tuu mambo yatakuja kuwa safi tu
Nyumbani akuna urithi usisangae nikijituma maana nisipo fosi maisha ya wengi yatasimama cause mindo tegemezi so sina time yaku loose maisha kina kirefu najitaidi kupiga mbizi majukumu yameniandama umri nao unakwenda nasijafanya kitu cha maana mwisho wa siku una surrender mshua age imekataa bimkubwa hali tete bado ada shuleni na mwenye nyumba anadai kodi God remember me mbona mazoezi nafanya na ibada kwasana najiuliza why me mpesaramu mwananguu mwambieni babaako sijakusaau najitaidi kupambana angalau upate maisha bora ila bado bila bila
Mtafutaji mimi naangaika mimi oooh mwenzako mi bado natafuta sijachoka mi kutwa nazunguka nitapata kidogo changuu
Bado nafosi michongo napambana nipate kidogo usawa unakaba ila fresh tuu mambo yatakuja kuwa safi tu
Bado nafosi michongo napambana nipate kidogo usawa unakaba ila fresh tuu mambo yatakuja kuwa safi tu
Written by: HAKIZIMANA TRESOR