Crediti
PERFORMING ARTISTS
Zaituni
Background Vocals
Steve Anariko
Acoustic Guitar
Eric Mwangangi
Percussion
COMPOSITION & LYRICS
Zaituni Wambui Ahmed
Songwriter
Steve Anariko
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Steve Anariko
Producer
Chris Adwar
Mixing Engineer
Testi
[Verse 1]
Nimependwa nikapendeka
Wanasema nimerogwa
Sina noma (Ananifaa)
Ananifaa mimi, ananifaa mimi
Ananipea mahaba kwa wingi
[Verse 2]
Hanipimili ananipea yote (Yote)
Kashaamua kunipenda misimu yote yeah
Naamini ashapata ubavu wake
Na ni mimi hapa habanduki
[Chorus]
Tam, tam, tamu sana mapenzi (Tamuu)
Tamu sana mapenzi
Tam tam tam sana mapenzi (Tamuu)
Tamu sana mapenzi
Tam, tam, tamu sana mapenzi (Tamuu)
Tamu sana mapenzi
Tam, tam, tamu sana mapenzi (Tamuu)
[Verse 3]
Ninamjua ananijua
Ananielewa zaidi ananijua
Na nikinuna ananituliza
Ananibemebeleza roho inatulia
Ananiamini, ninamuamini
Hatuna siri twaendana, shilingi kwa ya pili
Na sio siri
Sio siri
Kupendwa raha
Kwanza nawe kupendwa tatatatam
[Chorus]
Tam, tam, tamu sana mapenzi (Tamuu)
Tamu sana mapenzi
Tam, tam, tamu sana mapenzi (Tamuu)
Tamu sana mapenzi
Tam, tam, tamu sana mapenzi (Tamuu)
Tamu sana mapenzi tamu
tam, tamu sana mapenzi (Tamuu)
[Verse 4]
Tamu sana ni tamu tena sana
Inadonjo inadonjo tu vibaya
Amini usiamini
Niliapa sitawahi penda mwingine
Ona sasa
[Verse 5]
Nikiwa na yeye haunipati na nikiwa na yeye haumpati
Na nikiwa na yeye it's a party
Nikiwa na yeye hakutaki
Na nikiwa na yeye sikutaki eeh
[Chorus]
Tam, tam, tamu sana mapenzi (Tamuu)
Tamu sana mapenzi
Tam, tam, tamu sana mapenzi (Tamuu)
Tamu sana mapenzi
Tam, tam, tamu sana mapenzi (Tamuu)
Tamu sana mapenzi
Tam, tam, tamu sana mapenzi (Tamuu)
Written by: Steve Anariko, Zaituni Wambui Ahmed