album cover
Mtaani
album cover
Mtaani è stato pubblicato il 2 febbraio 2024 da Unique Tz come parte dell'album Mtaani - Single
2 febbraio 2024
EtichettaUnique Tz
LinguaEnglish
BPM96
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia

Testi

#Nyimbo, mtaani
#Verse 1
Maisha kamali, Mambo ya uswahilini,
Chumba kimoja watu nyomi,ni mauzauza.
Tukipatacho kizani, tunaleta mwangani,
Mkono wende kinywani,tunaunga unga.
 But we thanks baba God, kidogo tukipata tunagawana tunashukuru,
 Ayaya
 Namchanga sio kokoto, sa bila ya simenti vipi ntajenga nami niwe juu,
 Ayaya
    Mtaani kwetu kilasiku ni majanga,
    mtoto wa miaka kumi nae anadanga,
   Mpaka wazee kiunoni wanamapanga,
   Mtaani.
   Hatamwenyenyumba hukunae amepanga,
   Fumanizi zimejaa nikisanga
   Unamuamini kamarafiki kumbe mwanga,
   Mtaani.
# chores1
Mtaani mtaani mtaani.
Huku ndo mtaani kwangu Mimi,
Mtaani mtaani muuta.
Mtaani mtaani mtaani.
Huku ndo mtaani kwetu
Mtaani mtaani muuta.
#Verse 2
Songombingo balaa, kukicha Kama kalaa,
Ukitongoza huku unaoneka fala,
Mademu hawavuti bangi Ila wanavuta hela,
Ukiwa nazo kila mtu anakujua ooh ooh.
   Ona chumba chajilani kaibiwa,ukiuliza hakuna alieona,
   Ila pitisha kademu ata usiku wa manae kesho utaambiwa.
   Hatuli tunacho kitakaa, tunakula tunachopata
   Mwendo wa nguna na dagaa, huyo kuku ndo mchongo
   Wenye tamaa tushawazikaaa, wakikwapua wanabanikwa,
   Yani kukicha mabalaa, nakesi za mchongo. Ooh ooh
       Mtaani kwetu kilasiku ni majanga,
    mtoto wa miaka kumi nae anadanga,
   Mpaka wazee kiunoni wanamapanga,
   Mtaani.
   Hatamwenyenyumba hukunae amepanga,
   Fumanizi zimejaa nikisanga
   Unamuamini kamarafiki kumbe mwanga,
   Mtaani.
#Chores2
   Mtaani mtaani mtaani.
Huku ndo mtaani kwangu Mimi,
Mtaani mtaani muuta.
Mtaani mtaani mtaani.
Huku ndo mtaani kwetu
Mtaani mtaani muuta.
Written by: John John
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...