album cover
Dharau
album cover
00:00
00:10
00:15
00:20
00:30
00:35
00:50
00:55
01:00
01:05
01:15
01:30
01:40
01:45
02:00
02:25
02:30
02:45
02:50
03:00
03:15
00:00
03:32
Ultimi 7 giorni
Dharau è stata scoperta più frequentemente a circa 1 minuti dall'inizio la canzone durante la settimana passata

Testi

[Verse 1]
Mungu alonipa ukilema hawezi ninyima mwendo
Na sikupanga imenibidi kulivua pendo
Maana mwanzo nilidhani utabadilika
Ofcourse hakuna aliyekamilika
Masaaa masiku miaka imekatika
Nachukia kujiona nikilalamika
[PreChorus]
Bora ugali dagaa kwenye amani
Kuliko wali nyama vitani
Mateso vitimbwi kurupushani
Kama unajiona kichwa shingo nani
Bora ugali dagaa kwenye amani
Kuliko wali nyama vitani
Mateso vitimbwi kurupushani
Kama unajiona kichwa shingo nani mi sipendi
[Chorus]
Dharau, manyanyaso
Dharau, masimango
Dharau, manyanyaso
Siwezi siwezi
Dharau, manyanyaso
Dharau, masimango
Dharau, manyanyaso
Siwezi siwezi
[Verse 2]
Yeah, me nilidhulumu nafsi kujikirihisha
Nikiamini me mtu wa mtu
Kumbe bora ningechuku chuku (Ah kidogo)
Ningefanya utukutu
Moyo ndio ulikupa nafasi
Cha kusikitisha ninachoambulia maumivu tupu
Bora ninge chukuchuku (Aah kidogo)
Ama ningewapa wakifanye supu
Kwako nilikuwa nyendo sina
Nikijua you are my destiny
Sina wa kumtunzia heshima
Kama hata wewe nitashindwa kukuthamini
Ni kweli utakwenda mazima
Japo itakuwa ngumu kuamini
Nitamisi michezo ya mama Amina
Ya kucheza kwa kuburuza ulimi
Mapenzi ulionipa we
Walahi mi sikutamani mwengine we wa kiapo
Mwenzangu umebadilika wewe
Japo mi nakupa kila utakacho
[PreChorus]
Bora ugali dagaa kwenye amani
Kuliko wali nyama vitani
Mateso vitimbwi
Na ndio maana hatuendani weeh
[Chorus]
Dharau, manyanyaso
Dharau, masimango
Dharau, manyanyaso
Siwezi siwezi
Dharau, manyanyaso
Dharau, masimango
Dharau, manyanyaso
Siwezi siwezi
[Outro]
Dharau, manyanyaso
Manyanyaso
Kondeboy call me "number one"
Bakhresa
Written by: Ibrahim Abdallah Nampunga, Rajabu Abdulkahali Ibrahim
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...