album cover
Enjoy
5
Afro-Beat
Enjoy è stato pubblicato il 17 marzo 2024 da ZOMBIOO WORLD come parte dell'album Enjoy - Single
album cover
Data di uscita17 marzo 2024
EtichettaZOMBIOO WORLD
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia
BPM92

Video musicale

Video musicale

Testi

Yoo Whats up Betason!
onanana a mmmh
zombioooo
shiii
wanaeka pesa kwa mabenki ,ila yangu kwa mfukooo
wengi wanaitana baby,ila mimi ni Otienoo
hahaha
nimetamani sana ni enjoy ila mapenzi (wowowo)
yaani nafanya chochote anataka na ananiplay (owwowow)
aaaaahahahaha ama niache mapenzi
ooooowowowowow niwe single ni enjoy
shii
Dongkoro (tunatoka tukitaka)
Dongkoro(na wasupa wabomba
Dongkoro(tunalewa tukitaka)
Dongkoro (ni kelele na dunda)
dongkoro (unapenda ukigizwa )
Dongkoro(kwa mahali pa kukaa)
Dongkoro ( ayayayaya) ammmmmh
unanifanya kila siku mih nakuwa chizi
na huezi amini nikisema sina bibi mimi ×2
hahahaaha
kichwa inauma
kichwa inauma
 kicwa inauma
ati sinapesa sasa mimi wanijui
nitumie akili hyo wananishauri
nisipotoa kitu tena mimi ni adui
acha nibaki pekee yngu sina marafiki
anza pakua nikama unapiga deki kwa nyumba
ingiza rudisha nikama unachota maji kisima
aaaaahahahaha ama niache mapenzi
ooooowowowowow niwe single ni enjoy
shii
Dongkoro (tunatoka tukitaka)
Dongkoro(na wasupa wabomba
Dongkoro(tunalewa tukitaka)
Dongkoro (ni kelele na dunda)
dongkoro (unapenda ukigizwa )
Dongkoro(kwa mahali pa kukaa)
Dongkoro ( ayayayaya) ammmmmh
unanifanya kila siku mih nakuwa chizi
na huezi amini nikisema sina bibi mimi ×2
Written by: AfroMaloon, Maloon
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...