album cover
Lini
5438
Afro-Beat
Lini è stato pubblicato il 12 aprile 2024 da The Magical Touch come parte dell'album Lini - Single
album cover
Data di uscita12 aprile 2024
EtichettaThe Magical Touch
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia
BPM89

Video musicale

Video musicale

Crediti

COMPOSITION & LYRICS
Ibrahim Jafari Mzonge
Ibrahim Jafari Mzonge
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Ibrahim Jafari Mzonge
Ibrahim Jafari Mzonge
Producer

Testi

Baby Aaah
Niko serious
Kwako si fake wala si act
Niko serious
Baby aah
Au mapenzi basi
Niinusuru nafsi yeah
Nakulea kama mzazi
Kwako kijakazi
Wewe hujaali Eeee Eeee
Lini utanioaah yeah yeah
Lini utanioaah yeah yeah
Lini utanioaah yeah
Lini utanioaah yeah
Sawa nikuvumilie eeh
Ndoa za watu nihudhurie eeh
Bado wajipanga ni kazi bure
Unapiga magoti
Hunivishi pete
Wala hu propose yeah
Ama ka moyo kangu kupe
Kana ng'ang'ana
kupenda nisikopendwa
sa nawaza baadae ubadirikee
Usi fadhirike woh uuh
Nakulea kama mzazi
Kwako kijakazi
Wewe hujali Eeeh Eeeh
Lini utanioaah yeah yeah
Lini utanioaah yeah yeah
Lini utanioaah yeah
Lini utanioaah yeah
I remember you told me
Am your one and only
Toka nyakati zile
Pete haijawahi ona kidole
Nakulea kama mzazi
Kwako kijakazi
Wewe hujali Eeeh Eeeh
Lini utanioaah yeah yeah
Lini utanioaah yeah yeah
Lini utanioaah yeah
Lini utanioaah yeah
Aah yeah Aah yeah
Aah yeah Aah yeah
Aah yeah Aah yeah
Aah yeah Aah yeah
Written by: Ibrahim Jafari Mzonge
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...