album cover
Asha
album cover
Asha è stato pubblicato il 19 dicembre 2009 da 3856762 Records DK come parte dell'album Asha - Single
Released19 dicembre 2009
Etichetta3856762 Records DK
BPM95
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia

Video musicale

Video musicale

Testi

[Verse 1]
Mwenzio niko taabani
Mathalani ya hatiani
Hukumu yangu ni kifungo
Na huyu binti
Vicheche sasa mimi basi
Ubachela mimi nauaga
Majukumu nayapata, bae
Riziki anatoa maanani
Lazima mke wangu anijali
Nakupa moyo wangu please usiutoboe
Ninapo kuwa niko busy tafadhali usinichukie
Natafuta pesa natafuta pesa
[Chorus]
Roho yangu inachoma sana mimi
Lini nitakuwa na pesa
Nimuoe Asha
Roho yangu inachoma sana mimi
Lini nitakuwa na pesa
Nimuoe Asha
[Verse 2]
Itakuwa tafrani, hizo chereko na vifijo
Pamoja na wazazi, siku yetu ya harusi
Nakupa moyo wangu please don't hurt me
Don't hurt me
Nafsi yangu, nafsi yangu imetua kwako
Itakuwa tafrani, hizo chereko na vifijo
Pamoja na wazazi, siku yetu ya harusi
Nakupa moyo wangu please don't hurt me
Nafsi yangu, nafsi yangu imetua kwako
[Chorus]
Roho yangu inachoma sana mimi
Lini nitakuwa na pesa
Nimuoe Asha
Roho yangu inachoma sana mimi
Ni lini nitakuwa na pesa
Nimuoe Asha
[Bridge]
You're my heart, my pain, my gain, my vein, my star, my love
You're my angel
You're my heart, my pain, my gain, my vein, my star, my love
You're my angel
[Chorus]
Roho yangu inachoma sana mimi
Ni lini nitakuwa na pesa
Nimuoe Asha
Roho yangu inachoma sana mimi
Ni lini nitakuwa na pesa
Nimuoe Asha
Written by: Khalid Salum Mohamed
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...