album cover
Karim
15.235
Pop
Karim è stato pubblicato il 10 agosto 2009 da Kings Music Records Label come parte dell'album Ali K 4Real
album cover
Data di uscita10 agosto 2009
EtichettaKings Music Records Label
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia
BPM93

Crediti

PERFORMING ARTISTS
Alikiba
Alikiba
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ally Salehe Kiba
Ally Salehe Kiba
Songwriter

Testi

Nilimkuta akinung'unika
Dunia imemtupa
Kwa mola na malaika
Labda amekasirika
Yakarimaa
Ya Maulanaa aah
Yalatifuaah
Ewe Molaa
Alfajiri aliamka
Na kwenda kutafuta
Hakuna alichoshika
Mdomoni kuweka aah
Yakarim aah
Yamaulana aah
Yalatifu ahh
Ewe mola ahh
Na sasa ni saa 7 ya usiku na dakika
Anasoma dua ya kulala asije dhurika
Kwa walimwengu wa sasa na vibaka
Alale salama ili kesho apate amka
Pembezoni mwa barabara Karim alilala eeh
Moyo wake ukijua riziki amekosa eeh
Na mapenzi kwa mola wake yako pale-pale
Yakarim eeh
Yamaulana aah ahah
Yalatifu aah
Ewee Mola oohohho
Alipita mama mmoja ni mfanyabiashara
Pembezoni kidogo mwa Karim
Alikuwa amebeba sufuria kichwani
Akajikwaa kidogo akaangusha chini
Karim akishtuka toka usingizini
Akakuta chakula kimemwagwa chini
Alifurahi sana milele, milele
Alishukuru Mola milele
Alimuomba Mola milele, milele
Mola wa karim, wa latifu
Mola wa mola uliye juu uuh
Unayetupa vyote unayetuwezesha sisi
Viumbe wa dunia na ahera kwa ujumla
Ya karimu
Ya latifu wewee eeh
Ewe Mola muumba wa dunia
Ulimwengu mzima aah
Ooh ah eeh
Ewe Mola aah
Written by: Ally Salehe Kiba
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...