album cover
Ndoa
album cover
Ndoa è stato pubblicato il 3 novembre 2022 da Beatrice Mapinda come parte dell'album Asubuhi Na Mapema
3 novembre 2022
EtichettaBeatrice Mapinda
BPM85
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia

Testi

Asante Mungu nami umeniona Bwana,
Ninashukuru mana umeniona Bwana,
Si kwa akili zangu bali kwa roho wako ooh,
Si kwa akili zangu bali kwa roho wako ooh,
Umenipa furaha ya kudumu,
Umeupa furaha Moyo wangu,
Na tena umenipa mwenzangu,
Niambatane nae,
Ujawahi kunipa vitu vya ovyoovyo,
Vya ovyoovyo Bwana,
Ujawahi kunipa vitu vidogodogo
Vidogodogo Bwana,
Hiyo yote inanipa sababu ya kufurahi,
Hiyo yote sababu umenipa chagua langu,
Hiyo yote inanipa sababu ya kufurahi,
Hiyo yote sababu umenipa chagua langu,
Ohh happy day(NDOA)
Ina raha yake(NDOA)
Ohh hppy day (NDOA)
Ina utamu wake(NDOA)
MUNGU amenipa (NDOA)
Inaulinzi wake(NDOA)
Ohh hppy day (NDOA)
Ina utamu wake(NDOA)
Mungu wewe ndio mtoa baraka kwa wote,
Wazidi kumimina mi baraka kama yote,
Umenipa mume na ndoa yenye upendo na amani
Umenipa familia ninakushukuru baba eeh,
Umenipa furaha ya kudumu,
Umeupa furaha Moyo wangu,
Na tena umenipa mwenzangu,
Niambatane nae,
Ujawahi kunipa vitu vya ovyoovyo,
Vya ovyoovyo Bwana,
Ujawahi kunipa vitu vidogodogo
Vidogodogo Bwana,
Hiyo yote inanipa sababu ya kufurahi,
Hiyo yote sababu umenipa chagua langu,
Hiyo yote inanipa sababu ya kufurahi,
Hiyo yote sababu umenipa chagua langu,
Ohh happy day(NDOA)
Ina raha yake(NDOA)
Ohh happy day (NDOA)
Ina utamu wake(NDOA)
MUNGU amenipa (NDOA)
Inaulinzi wake(NDOA)
Ohh hppy day (NDOA)
Ina utamu wake(NDOA)
Written by: Walter Chilambo
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...