Video musicale
Video musicale
Crediti
PERFORMING ARTISTS
Ambwene Mwasongwe
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Ambwene Mwasongwe
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Ambwene Mwasongwe
Producer
Testi
[Chorus]
Wewe ni Mungu, wewe ni Mungu
Wewe ni Mungu utabaki kua Mungu
Wewe ni Mungu, wewe ni Mungu
Wewe ni Mungu utabaki kua Mungu
[Verse 1]
Katika safari ya maisha (Ooh)
Bila wewe bwana tusingeweza
Maisha yenyewe haya kama mvuke (Eeh)
Tena yanyauka kama maua
Ila wewe bwana ni wa kudumu sana
Una historia ndefu ya kuishi
[Verse 2]
Unatujua wanadamu jinsi tulivyo
Umetutoa mbali toka enzi hizo
Umeishi na watu wakila namnaa ooh
Unajua wapole na wakorofi eeh
[Verse 3]
Bado utabaki kuitwa Mungu
Maana peke yako ni mtakatifu
Ndio maana twasemaa usifiwe Bwana
Ndio maana twasemaa waastahili
[Chorus]
Wewe ni Mungu (Aah), wewe ni Mungu (Aah)
Wewe ni Mungu utabaki kua Mungu (Aah)
Wewe ni Mungu (Aah), wewe ni Mungu (Aah)
Wewe ni Mungu utabaki kua Mungu
[Chorus]
Wewe ni Mungu (Aah), wewe ni Mungu (Aah)
Wewe ni Mungu utabaki kua Mungu (Aah)
Wewe ni Mungu (Aah), wewe ni Mungu (Aah)
Wewe ni Mungu utabaki kua Mungu
[Verse 4]
Mwanadamu akijigamba na kujivuna
Hawajui yakwamba wewe ni mzee wa siku
Sijui wanajivunia kitu gani
Wakati miaka yao yote ni michache
Ni bora wakarudi nyuma kwenye historia
Watagundua kwamba unaozoefu wakutosha
[Verse 5]
Mungu umewai kuishi na wakorofii
Walio utawala ulimwengu kwa kiburi na jeuri
Lakini bado wewe ulibaki Mungu mtakatifu
Lakini bado wewe ulibaki Mungu mwenye rehema
[Verse 6]
Wako wapi leo wamepotea
Walivojivunia hawako navyo
Waamenyamaza kimya hawapo
Ila wewe unadumu milele eeh
[Verse 7]
Mimi nitajipendekeza mbele zako
Nipaate usalama wa roho yangu
Kwa sababu wewe Mungu ni wa peke eeh
Ndio maana nasema utabaki kua Mungu
[Chorus]
Wewe ni Mungu (Aah), wewe ni Mungu (Aah)
Wewe ni Mungu utabaki kua Mungu (Aah)
Wewe ni Mungu (Aah), wewe ni Mungu (Aah)
Wewe ni Mungu utabaki kua Mungu
[Chorus]
Wewe ni Mungu (Aah), wewe ni Mungu (Aah)
Wewe ni Mungu utabaki kua Mungu (Aah)
Wewe ni Mungu (Aah), wewe ni Mungu (Aah)
Wewe ni Mungu utabaki kua Mungu
[Verse 8]
Nitakutafuta daima (Daima)
Nipate kukujua ulivo (Ulivyo)
Mpaka mwili wangu ubadilishwe na wewe (Na wewe)
Mpaka nafsi yangu iambatane na uwezo wako
[Verse 9]
Nitatembea na wewe (Na wewe)
Nitakuishia milele (Milele)
Wewe ni Mungu ulie mtakatifu
Wewe ni Mungu mwenye kusifiwa
Ayaa yaya yaya yaya
[Chorus]
Wewe ni Mungu (Aah), wewe ni Mungu (Aah)
Wewe ni Mungu utabaki kua Mungu (Aah)
Wewe ni Mungu (Aah), wewe ni Mungu (Aah)
Wewe ni Mungu utabaki kua Mungu
[Chorus]
Wewe ni Mungu (Aah), wewe ni Mungu (Aah)
Wewe ni Mungu utabaki kua Mungu (Aah)
Wewe ni Mungu (Aah), wewe ni Mungu (Aah)
Wewe ni Mungu utabaki kua Mungu
Written by: Ambwene Mwasongwe