album cover
Shuhuda
5462
Afro-Pop
Shuhuda è stato pubblicato il 7 giugno 2024 da Kadason Music come parte dell'album Shuhuda - Single
album cover
Data di uscita7 giugno 2024
EtichettaKadason Music
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia
BPM87

Video musicale

Video musicale

Crediti

COMPOSITION & LYRICS
Thadeo Peter Bundallah
Thadeo Peter Bundallah
Songwriter

Testi

Umenitendea tena
Umenitendea wema
Napendezwa jinsi unavyonijibu
Maombi yangu unavyonijibu
Napendezwa jinsi unanibariki
Kazi zangu unanibariki
Nashindwa kujizuia
Kinywa changu
Kuyasema Ulonitendea
Bwana wangu
Ulinifunza kuvumilia
Magumu yangu
Maana ndipo uliziweka
Baraka zangu
Umenitendea tena
Umenitendea wema
Umenitendea tena aa ah
Umenitendea wema
Ohooo ye ye yeh ona nanana
Nilivyokuomba kwa uaminifu
Umenipaa
Umenipa na ziada
Baraka zako zinamwagika
MUNGU wa Viwango
Majibu yako uhakika
Umenipa vile Bora
Bora sana Nimeridhika
Nashindwa kujizuia
Kinywa changu
Kuyasema Ulonitendea
Bwana wangu
Ulinifunza kuvumilia
Magumu yangu
Maana ndiko uliziweka
Baraka zangu
Umenitendea tena
Umenitendea wema
Umenitendea tena aa ah
Umenitendea wema
Written by: Thadeo Peter Bundallah
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...