album cover

Hayaa

61.669Afro-Pop2022
album cover
Hayaa è stato pubblicato il 10 novembre 2022 da Ziiki Media come parte dell'album Hayaa - Single
Data di uscita10 novembre 2022
EtichettaZiiki Media
BPM95
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia

Testi

[Intro]
Uuuhh
The melanin queen
[Verse 1]
Si tulipanda miti kivuli tayari sah, tuketi
Jua lisituchome siwezi kusaliti
Kukuacha uende mbali sitetereki
Shetani anikome
[PreChorus]
Nakupenda wewe tu mahabuba (Mahabuba)
Tugandane gandane kama ruba (Kama ruba)
Tulilinde zaidi letu huba (Letu huba)
Twafurahi japo hatuna fuba (Hatuna fuba)
[Chorus]
Oh haya haya hayaa haya haya
Haya weh haya
Haya haya haya haya haya
Nishike kidogo haya haya
Aaah kidogo haya
Haya haya haya haya haya
[Verse 2]
Huba lake ni tamu
Walahi sijawahi ona before
Ai before kama yeye
Nikishikwa na hamuu
Sipati shida ya kumwita njoo
Simwiti ng'oo aja mwenyewe
Nampa uroda mpaka maji anaita m'ma (M'ma)
Tam tam kama soda
Kimeumana chuma kwa chuma (Chuma)
Akianza kwa shoulder anafuata mbele na nyuma (Nyuma)
Ah hajaniroga kamali ameshanipuna
[PreChorus]
Nakupenda wewe tu mahabuba (Mahabuba)
Tugandane gandane kama ruba (Kama ruba)
Tulilinde zaidi letu huba (Letu huba)
Twafurahi japo hatuna fuba (Hatuna fuba)
[Chorus]
Oh haya haya hayaa haya haya
Haya weh haya
Haya haya haya haya haya
Nishike kidogo haya haya
Aaah kidogo haya
Haya haya haya haya haya haya haya
Written by: Sarah Michael Kitinga

Footer Shazam

Seleziona lingua:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Seguici

Loading...