album cover
I Wish
album cover
I Wish è stato pubblicato il 27 ottobre 2021 da Waka Music Limited come parte dell'album I Wish - Single
27 ottobre 2021
EtichettaWaka Music Limited
LinguaEnglish
BPM
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia

Video musicale

Video musicale

Testi

Baby nitakupa moyo nitakupa roho, yani mwili mzima, ningekupa gari ningekupa doh, ila mi ndo sina
Ukinizidi sana nitakupa roho, unibebe mzima, ukitaka haba tutajaza ndoo, mi uvivu sina
Natamani uwai shela baby uvae, upendeze na ulivyo chombo wakushangae
Natamani tupewe mbawa baby tupae, tufike mbali baby wee, baby wee
Haya go, baby ringa, ikija mvua baby mi nitakukinga
Bailando basi pinda, ukirudi kwa nyuma nakukinga
Haya go, baby ringa, ikija mvua mama mi nitakukinga
Bailando basi pinda, ukirudi kwa nyuma nakukinga
(I wish) Leo tulewe mpaka tubebwe, (I wish), nimwone Wolper akiruka debe
(I wish) Nimwite Naseeb aimbe Jeje, (I wish), our wedding, our wedding
Ona unafuraha we una raha, wenye chuki wataziraha, watafuba watakosa raha
Basi gimme more, unapokwenda baby na mimi nimo, utaratibu huko nyuma kuna shimo, mmh aah utanidondosha wee
Mpaka mapepe, shilole waambie waache kitete
Joto jipepee, mtungi ukiisha tule mpepe
Haya go, baby ringa, ikija mvua baby mi nitakukinga
Bailando basi pinda, ukirudi kwa nyuma nakukinga
Haya go, baby ringa, ikija mvua mama mi nitakukinga
Bailando basi pinda, ukirudi kwa nyuma nakukinga
(I wish) Leo tulewe mpaka tubebwe, (I wish), nimwone Wolper akiruka debe
(I wish) Nimwite Naseeb aimbe Jeje, (I wish), our wedding, our wedding
Written by: SALMIN ISMAIL HOZA
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...