album cover
Ndoto
4
Music
Ndoto è stato pubblicato il 15 febbraio 2025 da Chidycare come parte dell'album Ndoto - Single
album cover
Data di uscita15 febbraio 2025
EtichettaChidycare
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia
BPM89

Testi

intro
usiku umekuja na upweke unanizonga
nakumbuka siku za furaha
tulipo kuwa pamoja
sasa kila kitu ni kivuli umenitoka
na moyo wangu unaumia kila nikiwaza
Chorus.
yote yalikua ndoto
mapenzi yetu ya zamani
uliniacha na maumivu
na sasa naishi kwa kumbukumbu
kila siku napolia nakukumbuka wewe
yote yalikua ndoto na sasa huwezi kusahau
verse 1
Picha zako kwenye ukuta
zinanikumbusha siku za zamani
tulipokuwa na furaha na upendo usio na mwisho
lakini sasa ni maumivu moyo wangu una vuja
uliniacha na huzuni
na maisha bila mwangaza
Chorus.
yote yalikua ndoto
mapenzi yetu ya zamani
uliniacha na maumivu
na sasa naishi kwa kumbukumbu
kila siku napolia nakukumbuka wewe
yote yalikua ndoto na sasa huwezi kusahau
Verse 2
Kwanini uliondoka
kwanini uliniacha
najaribu kusahau lakini maumivu hayapunguwi
nakutafuta kwenye ndoto lakini haupo
na moyo wangu unaumia kila nikiwaza
Chorus.
yote yalikua ndoto
mapenzi yetu ya zamani
uliniacha na maumivu
na sasa naishi kwa kumbukumbu
kila siku napolia nakukumbuka wewe
yote yalikua ndoto na sasa huwezi kusahau
Outro
yote yalikua ndoto
kwasasa umenitoka
lakini moyo bado unakupenda
kwa siku zote za maisha yangu nitakukumbuka
 yote yalikua ndoto na sasa huwezi kusahau.
Written by: Rashid Hamisi Omary
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...