Crediti
PERFORMING ARTISTS
Prince brayban
12-String Guitar
COMPOSITION & LYRICS
Prince brayban
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Prince brayban
Executive Producer
Testi
Si kwa ubaya, si kwa huzuni
Nilijua tutamaliza kwa amani, turudi kama zamani
Kumbe nilijidanganya babe wangu ana babe wake
Yanamuingia nakutokea huku, penzi limeisha luku
Chachu yangu chuku chuku
(Kumbe nilijidanganya, my wangu ana my wake)
Chorus
Wanapenda, nimeambiwa wanapendana
Alichonipa mimi anampa yule bwana
Ooh wanapendana, nje na ndani wanapeana, alichonipa mimi anampa yule bwana na mavyakula wanalishana
Brayban ooh niombeeni
Umwana wa Ntidyicha (niombeeni)
Verse 2
Nina huyu tu, ni huyu tu
Sina mwingine nina huyu tu
Sijazoea mi kupitapita, kukizungusha kwa mabucha bucha
Akiongea moyo wangu puuh
Hata kauli namsikiliza huyu tu
Na ubaya wa mapenzi ni kama jela anayekuumiza ni yule unayemhusudu
Hayana kasisi hayana usela, mbaya zaidi mapenzi hayana sugu
Yanamuingia nakutokea huku, penzi limeisha luku
Chachu yangu chuku chuku
(Kumbe nilijidanganya, my wangu ana my wake)
Chorus
(Ananiigiziaaaa mbe)Wanapendana, nimeambiwa wanapendana (mi simuelewi oooh oooh)
Alichonipa mimi anampa yule bwana na mavyakula wanalishana (wanalishana)
Ooh wanapendana(eti wanapendana ooh), nje na ndani wanapeana(wananichuniza roho), alichonipa mimi anampa yule bwana (anampya yule bwana)
na mavyakula wanalishana
Brayban ooh niombeeni
Umwana wa Ntidyicha (niombeeni)
Inauma roho, roho inauma yoyoyoyo
Written by: Prince brayban

