Crediti

PERFORMING ARTISTS
Lughano Mayenga Lukali
Lughano Mayenga Lukali
Harmony Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Lughano Mayenga Lukali
Lughano Mayenga Lukali
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Ringtone Beats
Ringtone Beats
Producer

Testi

(intro:Young Kacha) Never lose hope,,,neverr,,ts YK,Young Kacha,,,thats my nick name
(verse 1:Young Kacha) Kila napokaa nawaza sipati jibu/
Nilipotoka balaa nilipo hakuna mbivu/
Vipi napokwenda ntapata mnofu ntoke shavu?/
Au ndo vile vile life all day litanipiga cha mbavu/
But, i know one day jah atabless/
Ntakuwa boss ka mick mill au rozz wa may back/
Hakuna strees wala wickness/
Maswali yote yenye shida ntajibu ki high class/
Japo rghty now mi ndo boss wamakabwela/
Bila kumsifia mdosi hakuna noti mwendo hasara/
Japo rghty now snitch wanasema nishambwela/
Hadi nilichange dear gambe kumpa strees young killer/
Mi ni kama mtoto nae nyonya maziwa ya mama/
Mwenye ndoto kubwa ipo siku ntakuwa na wangu mwana/
Nawaza chakufanya, nasoma nilipokwama/
Nikiamini ipo siku ntakuja kupata sana................................
Written by: Lughano Mayenga Lukali
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...