album cover
Semaa
album cover
Semaa è stato pubblicato il 5 giugno 2025 da Touching Smile Music come parte dell'album Semaa - Single
5 giugno 2025
EtichettaTouching Smile Music
BPM99
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia

Video musicale

Video musicale

Testi

Eeii eeii waniacha hoi hoi jinsi unavyo ni nyima rahaa ndio maana si enjoy hoi pale kuita una kataa aa waniacha hoii hoii jinsi unavyo ni nyima rahaa .
Wee sema maa
Sema sema sema
Bebee eee wesema maa
Sema sema sema
.
Sipumui kwa ajili yako nitakufata popote uendako, moyo wangu uko kwako mbona wewe hutaki kunipa wako ,
Sio sasa kutoka zamaa ,magoti nilisha piga mamaa chozi langu ukali mwaga ,
Tangu uniambie nasubiri, misielewi mbona unanichezea sharii eee,umbolako macho wanifanya sina rahaa
Written by: John Pande Sylvestus
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...