album cover
Pombe
album cover
Pombe è stato pubblicato il 21 ottobre 2024 da SONNICART come parte dell'album Pombe - Single
21 ottobre 2024
EtichettaSONNICART
LinguaFrancese
BPM107
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia

Testi

Tuki lewa tu lewa
Tuki yumba tuna yumbaka
Tuki anguka Tuta simama
Hakuna muda waku poteza
Nikiipata kidogo oh
Naitaka tu ma bro
Nipunguze muchoko oh
Na kinywaji kidogo
Ukipata kidogo oh
We itaga tu ma bro
Kisicho liwa n a ndungu
Jua kama ni sumu
Niki lewa mina lewa
Niki yumba mina yumbaka
Niki anguka nda simama
Hakuna muda waku poteza
Tuki lewa tu lewa
Tuki yumba tuna yumbaka
Tuki anguka Tuta simama
Hakuna muda waku poteza
Sigusi lolotte kama sija kunywa pombe (pombe)
Siwezi lolote kama sija lewa pombe (ah pombe)
Sifanyi lolote kama sija kunywa pombe (ah pombe)
Siwezi lolote kama sija lewa pombe (ah pombe)
Munisamee majiranii (nikisha lewa)
Uni samehe jamani (nasumbuaka)
Munisamee majiranii (nikisha lewa)
Uni samehe jamani (nasumbuaka)
Pana wangu chicha (chicha)
Naipenda chicha (chicha)
Mi sinywi maziwa (maziwa)
Na penda kulewa (lewa)
Pana wangu chicha (chicha)
Naipenda chicha (chicha)
Mi sinywi maziwa (maziwa)
Na penda kulewa (lewa)
Ii pombe walai
Ni rafiki for life
Nikikosa na ngonjwa na regea regea
Ii pombe walai
Ni rafiki for life
Nikikosa na ngonjwa na regea regea
Sigusi lolotte kama sija kunywa pombe (pombe)
Siwezi lolote kama sija lewa pombe (ah pombe)
Sifanyi lolote kama sija kunywa pombe (ah pombe)
Siwezi lolote kama sija lewa pombe (ah pombe)
Munisamee majiranii (nikisha lewa)
Uni samehe jamani (nasumbuaka)
Munisamee majiranii (nikisha lewa)
Uni samehe jamani (nasumbuaka)
Pana wangu chicha (chicha)
Naipenda chicha (chicha)
Mi sinywi maziwa (maziwa)
Na penda kulewa (lewa)
Pana wangu chicha (chicha)
Naipenda chicha (chicha)
Mi sinywi maziwa (maziwa)
Na penda kulewa (lewa)
Sasa stress zinites kwanini
Wakati pombe pombe zime jaa mjini
Nauliza stress stress zini vunje Ama vipi
Wakati pombe pombe jina jaa mjini
Written by: PALUKU THAYSWIKA Tresor
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...