album cover
Mi Wake
album cover
Mi Wake è stato pubblicato il 4 giugno 2025 da Midee come parte dell'album Mi Wake - Single
4 giugno 2025
EtichettaMidee
BPM
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia

Video musicale

Video musicale

Testi

Ohh baby aah, baby you're amazing
Nakabody sexy unanifit size
Go down low, looking into my eyes
Achana na wapambe wanaokucritisize
Don't play with my woman
Siwezi kumwacha nyuma
I don't trust any human
Habari zetu wanazo za kwao hatuna
Taarifa zetu hawapati,
Vibarazani kwa wasukuma chapati,
Wenzenu mambo yetu safi
Ex kaa mbali usijeharibu mikakati
Habari zetu hawapati
Vibarazani kwa wasukuma chapati
Mbona mambo yetu safi
Tupo kila sehemu sa mtampata wapi huyu
Aeee aeee,mi wake aeee
Aee aeee,huyu nitazikwa nae aeee
Aeee aeee mi wake aeee
Aeee aeee huyu nitazikwa nae aeee
Kiukweli moyo wangu umekuchagua,
Waliosema hayawi sa yamekua
Saivi hakuna mambo ya kujichua
Hatutafuti mchawi tumeshamjua
Habari zetu hawapati
Vibarazani kwa wasukuma chapati
Wenzenu mambo yetu safi
Ex kaa mbali usijeharibu mikakati
Habari zetu hawapati
Vibarazani kwa wasukuma chapati
Wenzenu mambo yetu safi
Tupo kila sehemu sa mtampata wapi huyu
Aeee aeee mi wake aeee
Aeee aeee huyu nitazikwa nae aee
Aeee aeee mi wake aeee
Aeee aeee huyu nitazikwa nae aee
Kumwacha baby wangu hiyo impossible
Kwanza kifuani embe bolibo
Usiombe ajishoot hayo madoido
Mbona mmekunja ndita au kuna shido?
Written by: Abdul Kamota
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...