Video musicale

Willy Paul - My Lady ( Official music Video )
Guarda Willy Paul - My Lady ( Official music Video ) su YouTube

In primo piano

Crediti

PERFORMING ARTISTS
Willy Paul
Willy Paul
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Wilson Ouma
Wilson Ouma
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Willy Paul
Willy Paul
Executive Producer

Testi

[Verse 1]
For your love oh baby
I'll never let you go (Pozze)
I choose you over and over
I'll never let you down
[Verse 2]
My baby ohh
My body dey shiver
Unavyo niwinia
Kwa mapenzi nimeshiba
[Verse 3]
Sijamwona mtoto mrembo
Zaidi yako
Hata bila makeup bado hawakufikii
Hakuna zaidi yako
[Verse 4]
You are more than a lover
You are more than a lover
Nikigonjeka wajua pa kushika (Wajua pa kushika)
[Refrain]
Kwani Mungu alikua na mapendeleo (Pendeleo)
Najiuliza maswali yani mpaka leo (Mpaka leo)
Sitamani mpenzi kumpenda mwingine
Sitamani mpenzi
[Chorus]
My ladyy
My ladyy
My ladyy
My ladyyy
[Verse 5]
Baby oh mtima wangu umeukamata
Maishani mwangu we ndio pambio unawaka kama taa
Kila napokuita mami oh we niite tu daddy oh
Nimetangaza mpaka kwenye radio
Wanajua wewe ndio baby oh
[Verse 6]
Everything I do ni kwa ajili yako tu
Na mimi bado niko duniani kwa ajili yako tu
Everything I do ni kwa ajili yako tu
Niko duniani kwa ajili yako
[Chorus]
My ladyy
My ladyy
My ladyy
My ladyy
Written by: Wilson Ouma
instagramSharePathic_arrow_out