album cover
Dingi
16.175
Music
Dingi è stato pubblicato il 4 febbraio 2005 da Sony Music Entertainment East Africa come parte dell'album Dingi - Single
album cover
Data di uscita4 febbraio 2005
EtichettaSony Music Entertainment East Africa
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia
BPM181

Crediti

PERFORMING ARTISTS
Mandojo
Mandojo
Performer
Domokaya
Domokaya
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Miikka Aleksanteri Kari (Miikka Mwamba)
Miikka Aleksanteri Kari (Miikka Mwamba)
Composer
Precious Juma Nkoma (Mandojo)
Precious Juma Nkoma (Mandojo)
Lyrics
Joseph Francis Michael (Domokaya)
Joseph Francis Michael (Domokaya)
Lyrics
PRODUCTION & ENGINEERING
Miikka Mwamba
Miikka Mwamba
Producer

Testi

Feel the track feel the track feel the track
Feel the track feel the track feel the track
Feel the track feel the track feel the track
Feel the track feel the track feel the track
He ehe ehe
Baba mbona ukanikimbia
He ehe ehe
Maisha magumu ndio yaliyochochea
He ehe ehe
Nakukumbuka na nakulilia
He ehe ehe
Kweli ningependa we kunirudia
He ehe ehe
Baba mbona ukanikimbia
He ehe ehe
Maisha magumu ndio yaliyochochea
He ehe ehe
Nakukumbuka na nakulilia
He ehe ehe
Kweli ningependa we kunirudia
Dingi sio vizuri hivyo tazama face nacheza
Unaleta kiu ya fedha ** why
Ilidhihirika kipindi mheshimiwa serikalini
Katibu wizara ya fedha miguu haitoki mezani ofisini
** wafanya biashara kwa ujumla
Wakiomba msamaha wa kodi ** unachuna
Siku understand mtoto wa jirani kukomaa sura
Wengine wamekonda mfano wa.. astaghafirullah
Ingekua vipi ***
Uliharibu kufikiria mke wa pili na kumfukuza babu
Tena tulipokueleza ukatujia moto juu
Watoto mkome msubiri wakati wenu sio huu
Si likapita redundancy raisi kuvunja baraza
Aibu kutufahamisha mpaka habari ilipotangazwa
** kidogo mother afe kwa presha
Alitambua mapema kitakachofata ukata wa pesa
Hukujua sura pakuficha uliandamwa na vikwazo
Ulikua mtu wa kilabu kilevi kupoteza mawazo
Pombe inasahaulisha **
***
Chini ya jua kali mi nafahamu utamu wa ugali
Ikafika kipindi hatukupati na senti mfukoni
Wakija dai kodi baba hajarudi unajificha chooni
Ukaanza yako makuzi sikusifii hizi kejeli
*** ukawa mfukuzia ma house girl
Kwa kuwa walikuwa wadogo ki umri uliwadanganya kirahisi
Na kutimiza yale yote aliokutuma wako ibilisi
*** tulipofahamu haya unatenda
*** na ukamtia mimba
** Ndugu kujadili vikali
Kumaliza msosi sufuria unazitia msumari
Akija ** hofu tumbo joto home hakai
Baada ya dakika chache hodi hodi za wanaomdai
Sina imani nae namchukulia tu father mkatili
Kwa sasa wakati wa kudozi anatutazama sehemu za siri
*** mwacheni majini yake yanavyomtuma
Ni mzee asiyeshiba ye anachoka tu kutafuna
Ashatia aibu mbele ya rafiki zake maza huyu ka lost
Kaja sebleni na taulo ndani hana hata **
Ile kumvumilia tu si ndo radhi akamwaga
Kama alivyozaliwa wageni ilibidi kuaga
** malipizi mama akafanya mgomo baridi
Nashangaa vipi unakacha home oo matatizo yamezidi
** pumzi zangu hazitogema
Suguaakili nikiwa kijana mdogo si mtu mzima
Mama nae hana kazi familia itaendeshwa vipi
Mpaka nilipoanza ** kuona msikiiti
** nshauza sana kumsave mama mzazi
Kumfikisha hospitalini usiku alipougua maradhi
Upepo ulivuma kichizi siku hiyo kabla ya kunyeshamvua
Pote uliposikia mwanao nashuka hizi hatua
*** gitaa nashusha shairi
Ukichambua kiufasaha upate onekana mkatili
Si unakumbuka imani hamna tabia haibadiliki
** ntakufanya kuwa rafiki
** mapenzi ya baba kumbe nna siri kiasi flani
Leo nna kesi yabangi kesho narudi mahakamani
Kesi juu ya kesi ikanipa jina mtaani
Hawakuisha kunishauri masela wangu maskani
Kipaji ndo chanzo cha kuniandikisha hili pini
Mpaka naingia studio bado sijakutia machoni
Nashindwa kujimudu ukosefu wa akili kichwani
Ningetoa wapi na mi shule school fees jamani
Sikumaliza elimu ya msingi ntapata kazi unadhani?
Ndo maana nakulilia tafadhali baba rudi nyumbani
Sio mambo safi kidogo kutokana na fani
** na Dj track ipo hewani
Shukrani kwa mpenzi wangu anaeniletea amani maishani
Kuna wakati nilikumiss nasisitiza yani
Tujulishe kama yu hai hapa duniani
Au umetutoka Mungu akulaze pema peponi
Amen
He ehe ehe
Baba mbona ukanikimbia
He ehe ehe
Maisha magumu ndio yaliyochochea
He ehe ehe
Nakukumbuka na nakulilia
He ehe ehe
Kweli ningependa we kunirudia
He ehe ehe
Baba mbona ukanikimbia
He ehe ehe
Maisha magumu ndio yaliyochochea
He ehe ehe
Nakukumbuka na nakulilia
He ehe ehe
Kweli ningependa we kunirudia
He ehe ehe
He ehe ehe
He ehe ehe
He ehe ehe
Written by: Joseph Francis Michael (Domokaya), Miikka Aleksanteri Kari (Miikka Mwamba), Precious Juma Nkoma (Mandojo)
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...